BM-21 Grad bado inatumka dunia nzima kwa majeshi ya ardhini...fuatiliaNimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Kasomw vizuri, wanaupgrade vitu vingi mno, tuwe wafatiliaji vizuri wa haya mambo jamani.Marekani wana ndege za B52 bomber,zilitengenezwa mwaka 1972 zina perform vizuri sana Afghanistan
Silaha sio kama gari unasoma mwaka na kilometa,silaha ni mahitaji dada
kutumika siyo hoja, hoja ni mabadiliko ya technolojia.Unaelewa hiyo "in service 1963 to present"?
Ujuaji wa hovyo kabisa!
Hawajui kuwa hata zile AK47 vietnum alipewa na mrusi baada ya US kutumia bulletproof kwa Askar zake. Vietnum yeye kama yeye alikuwa mtoto mdogo tu kwa US.Marekani kasafiri kupeleka kiherehere Vietnam na akakutana na silaha za Mrusi. Hakuwa anajitetea hivo hakulazimika kutumia hata 10% ya uwezo wake kijeshi
Hata manati bado inatumika.BM-21 Grad bado inatumka dunia nzima kwa majeshi ya ardhini...fuatilia
Ila niliona kuruka pale kwenye hel mbona ilichukua muda sana na pia kuondoka uwanjani.... nilitamani 5sec wote wamesharuka....
Kulikuwa na haja gani ya kuonyesha silaha hizo. Hata zile ndege ni za zamani sana, nadhani shenyang J6 ambazo zilishakuwa retired huko China zaidi ya miaka 20 iliyopitaMleta Uzi akiri zako bhana,,Kwa akiri zako unadhani unaweza onyeshwa silaha zote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapiga pesa kupitia hiki chombo, si unajua CAG hapiti humo?Kati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
Uliziona wapi wewe yan nyie kila kitu rwanda kenya ndo wapo vizur mwisho mtasema hadi mama zenu baba zenu walikosea kuoaUlinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Hoja yako ni nini sasa hapa!?Uliziona wapi wewe yan nyie kila kitu rwanda kenya ndo wapo vizur mwisho mtasema hadi mama zenu baba zenu walikosea kuoa
Wakitishika viongozi basi zinaonekana ni tishio kwa woteNimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Huu ni ukweli mtupu, watu wanaishi ktk fikra za miaka ya 70. Tz tumeshuka ktk hii nafasi.Venus Star uko correct wanaokupinga wanaokupinga kama desturi tu. Kwa Africa nchi ya Tanzania ni namba 23 kwa military strength wakati kwa Dunia ni namba 112. Njoo hapa: List of countries with the strongest and weakest military in Africa 2021
Nadhani wewe ndio unatakiwa kufungua ubongo wako zaidi.Mzee nani amesema kushinda battle hapa. Kwani kuwa na computer ya kisasa ndio kujua programming!? Fungua ubongo wako acha kutetea outdated tools.
Aisee we jamaa ni mjinga sanaa nimegundua huna unalojua kuhusu silaha. Tafadhali ni bora unyamaze tu.Wewe usiye mshamba ndio ushauri jeshi liwe na machuma yenye technology ya 1967!? Hata kwenye computer zipo Pentium 2. But is outdated technology.
Heshimu technology mwanangu na badili mtazamo.
Unaweza kunieleza kwanini silaha zilizooneshwa leo pale zinafaa!?Nadhani wewe ndio unatakiwa kufungua ubongo wako zaidi.
Mzee wewe unayeniita mimiji mjinga huku ukijiona wewe mwelevu toa maelezo sahihi.Aisee we jamaa ni mjinga sanaa nimegundua huna unalojua kuhusu silaha. Tafadhali ni bora unyamaze tu.
Huko JKT znaachwa professions za computer science, wanachukuliwa wapiga vinanda. AIBU aisee.uko sahihi ngoma coy ni ni wengi Sana majeshini..NI kutikisa matako tu
Jeshi badala ya kulinda wananchi, lenyewe linakandamiza wananchi kisa wana posho ya chakula laki mbili na viposho vya ajabu ajabu.Huo ndo ukweli mchungu. Jeshi ni la CCM na watawala
Kwani ina maana hizo ndizo silaha pekee tulizonazo?Sio kwamba wametoa hizo kwa ajili ya Paredi tu?Lakini hata hivyoTanzania haina haja ya kulimbikiza silaha sababu hatuna uadui na nchi yeyote.Nchi hununua /huweka bajeti ya silaha panapotokea vita.Yaani badala ya kuweka bajeti kwenye mambo kama kilimo ,tununue silaha wakati hatuna vita?Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.