Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

tulia tunazo hadi za nyukilia hizi ni samples za vita vya kwanza vya dunia tu.

Ukibisha nenda burundi mipaka iko wazi
 
TANZANIA YAPAA KIMAJESHI DUNIANI.

HII NIMEICOPY & KUPASTE KUTOKA JAMII FORUMS. Kumbe Dunia inatutambua aisee.
1701 said:
tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa jwtz kongo kwani chini ya kapeti rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka africa huku asia ikitoa nchi kadhaa,sasa tanzania inawekwa level moja na seal ya usa,special force ya israel na wakali wengine,
source clouds fm na website mbalimbali
 
Silaha ni siri wewe usifikiri nchi itaanika silaha zake zote
Silaha siyo siri kabisa. Wauzaji wote wanapeleka data zao kwenye internet. Ukinunua Leo Bomber 52 au Fighter 16, data tutazikuta kwenye internet. Na based kwenye vifaa ambavyo nchi inavyo tutajua mpaka ifadi ya askari ulionao kwa infantry, navy na anga. Angalia hapa kila kitu Kiko wazi

 
Mkuu, itakuwa ni vile vifaru vya urban warfare, si unajua mijini majengo mengi, kwa size yake kanaweza kukatisha kwenye chochoro za mijini bila shida.

Out of topic; T14 Armata, moja ya vifaru bora kabisa kuwahi kutengenezwa.
Hako kadude kwa size yake hata sioni kama inafika nusu ya size ya kifaru, achana na MBT kama Abrams na Challenger. Hata zile medium tank haka hakafiki nusu kwa size. Nashindwa elewa ni kadude gani hata IFV haiwi ndogo hivi
 
Hawajui kuwa hata zile AK47 vietnum alipewa na mrusi baada ya US kutumia bulletproof kwa Askar zake. Vietnum yeye kama yeye alikuwa mtoto mdogo tu kwa US.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile vita ni kama ya Angola. Serikali ina Warusi na wajamaa kama Tanzania alafu yule mpuuzi Jonas Savimbi ana Wamarekani. Vita ikawa prolonged for nothing kisa ligi ya mabeberu
 
Huwezi kumuonyesha jirani kila kitu hata jirani mliyeshibana vipi kuna siri zako lazima zifichwe, labda kama dish limeyumba halina ushirikiano na akili.
 
Kwa hiyo hizo za kwetu hazijawa upgraded?wabongo kila kitu tunajifanya tunajua,yaani wamarekani silaha zao wameupgrade,ila sie??
 
Kwani Leo ilikua maonesho ya silaha za kivita?? Ulivyoviona vilikua sehemu ya kusherehesha miaka60 ya Uhuru wetu.
 
Wewe una teknlojia gani ya kuupgrade silaha kama risasi yenyewe tu unaagiza nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana nasema wabongo tumejikita kukosoa,kuponda,kejeli na dharau hata kwa vitu vya kitaalamu
Risasi tunatengeneza mzinga morogoro
Ukienda kununua silaha ni jukumu la supplier kuhakikisha kifaa anachokupa kimekua upgraded
 
Ndio mana nasema wabongo tumejikita kukosoa,kuponda,kejeli na dharau hata kwa vitu vya kitaalamu
Risasi tunatengeneza mzinga morogoro
Ukienda kununua silaha ni jukumu la supplier kuhakikisha kifaa anachokupa kimekua upgraded
Risasi za silaha gani!?
 
Sidhani kama ni swala la kushangaza kwa Tanzania kuwa na silaha ambazo unaweza kuziita duni ukilinganisha na nchi zilizoendelea, bei ya silaha za kisasa ni ghali mno kwa nchi kama Tanzania kumudu

La msingi ni uwezo wa kupambana vitani kwa kutumia silaha ulizonazo, USA wana silaha bora lakini hakuna vita waliowahi kushinda kirahisi.
 
Kagame amekuja kuona silaha zetu ili siku atwambie tutapigwa dakika
 
Mwambie huyo haelewi.
 
Vita ni akili,sio nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…