Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silaha siyo siri kabisa. Wauzaji wote wanapeleka data zao kwenye internet. Ukinunua Leo Bomber 52 au Fighter 16, data tutazikuta kwenye internet. Na based kwenye vifaa ambavyo nchi inavyo tutajua mpaka ifadi ya askari ulionao kwa infantry, navy na anga. Angalia hapa kila kitu Kiko waziSilaha ni siri wewe usifikiri nchi itaanika silaha zake zote
Hako kadude kwa size yake hata sioni kama inafika nusu ya size ya kifaru, achana na MBT kama Abrams na Challenger. Hata zile medium tank haka hakafiki nusu kwa size. Nashindwa elewa ni kadude gani hata IFV haiwi ndogo hiviMkuu, itakuwa ni vile vifaru vya urban warfare, si unajua mijini majengo mengi, kwa size yake kanaweza kukatisha kwenye chochoro za mijini bila shida.
Out of topic; T14 Armata, moja ya vifaru bora kabisa kuwahi kutengenezwa.
Ile vita ni kama ya Angola. Serikali ina Warusi na wajamaa kama Tanzania alafu yule mpuuzi Jonas Savimbi ana Wamarekani. Vita ikawa prolonged for nothing kisa ligi ya mabeberuHawajui kuwa hata zile AK47 vietnum alipewa na mrusi baada ya US kutumia bulletproof kwa Askar zake. Vietnum yeye kama yeye alikuwa mtoto mdogo tu kwa US.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hizo za kwetu hazijawa upgraded?wabongo kila kitu tunajifanya tunajua,yaani wamarekani silaha zao wameupgrade,ila sie??Kasomw vizuri, wanaupgrade vitu vingi mno, tuwe wafatiliaji vizuri wa haya mambo jamani.
Pia elewa kuwa hizi stealth bomber mfano wa B52 zikienda ktk mission zinakuwa na ndege zingine kwa ajili ya kuilinda.
Ni kama unavyoona Aircraft Carrier inavyosindikizwa ma frigates, ndivyo ambavyo stealth bomber zinavyosindikizwa na ndege zingine mfano F22 Raptor n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una teknlojia gani ya kuupgrade silaha kama risasi yenyewe tu unaagiza nje?Kwa hiyo hizo za kwetu hazijawa upgraded?wabongo kila kitu tunajifanya tunajua,yaani wamarekani silaha zao wameupgrade,ila sie??
[emoji23]Na kama makomandoo ndio sina ya wale walio pelekwa kumlinda Mbowe, wanaokamatwa na mgambo wa polisi, tujitafakari.
Ndio mana nasema wabongo tumejikita kukosoa,kuponda,kejeli na dharau hata kwa vitu vya kitaalamuWewe una teknlojia gani ya kuupgrade silaha kama risasi yenyewe tu unaagiza nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Risasi za silaha gani!?Ndio mana nasema wabongo tumejikita kukosoa,kuponda,kejeli na dharau hata kwa vitu vya kitaalamu
Risasi tunatengeneza mzinga morogoro
Ukienda kununua silaha ni jukumu la supplier kuhakikisha kifaa anachokupa kimekua upgraded
Kwani risasi za bunduki na bastolaRisasi za silaha gani!?
Subiria vita utazionaHebu zitaje majina ya silaha hizo. Hakuna silaha zingine ghalani, hapo ndio mwisho.
Bunduki aina gani mzee mbona unazunguka!?Kwani risasi za bunduki na bastola
Mwambie huyo haelewi.Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.
Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...
Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...
Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
Vita ni akili,sio nguvu.Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.