Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

Sasa huo mradi wa Steigler gorge kma haujaenda samba samba na njia mpya za usambazaji wa umeme utaujaribu vipi utautumia vipi?

Au unataka ukiisha ukae tena miaka 5 ungoje njia za uememe ndipo uanze kuutumia?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Huyo mtoa mada ni mpumbavu aliyebeba chuki na alikuwa mnufaika wa utawala uliopita
 
Sasa huo mradi wa Steigler gorge kma haujaenda samba samba na njia mpya za usambazaji wa umeme utaujaribu vipi utautumia vipi?

Au unataka ukiisha ukae tena miaka 5 ungoje njia za uememe ndipo uanze kuutumia?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha zako wewe mama. Kwani kusambaza njia za kusafirisha umeke ni ishu? Lazim mradi uwe kipaumbele kwanza.
 
wizi , ufisadi , rushwa na uwaziri ni pipa na mfuniko! hili ni jizi kama majizi mengine
 
Hapo. makamba jr ana ana 3b's zake kaweka pembeni anatulia akisikilizia upepo
Maandalizi ya kua mkuu wa nchi afrika vyama tawala vilivo vikongwe hua havihitaji jukwaa la kutema sera ......wao house na house kugawa chochote

Dogo anajiandaaa
 
Dah, umezungumza mengi sana mkuu, bila kufunua chochote, lakini sidhani kwamba huyo uliyemjibu anaweza akakuelewa.

Angekuwa na akili ya kumvusha barabara tu, asingehangaika kwenda mbali kote huko SA ulikom'refer'; tuna mfano hai na mzuri kabisa hapahapa jirani yetu; huko uliko ulikoelezea 'Export' ya wakubwa ilikolenga.

Sisi tunaiga yaliyowashinda na sasa wakihangaika na jinsi ya kujinasua toka kwa hao majambazi "Independent Power Generators" waliowakaba shingo.
Tume iliyopendekeza mikataba ipitiwe upya ili washushe bei, mijamaa imekata mapendekezo hayo na kutishia kushtaki.
Serikali ikaufyata, sasa wanaiangukia ruzuku, ambayo inatokana na kukopa hela toka nje. Kama huo siyo uhayawani ni kitu gani?
 
Umeleta mada nzuri kutujuza habari hii,kama ni kweli hili linatendeka basi hatuna budi kusema hakika nchi imepatikana.huu utakuwa zaidi ya mzaha.
 
Geothermal ambayo imeshasemwa kuwa na uwezo wa kutupa 600MW? Kenya wanakimbiza kweli kweli kwenye hiyo!
Lakini kweli hao Kenya wanafaidika nayo kama ilivyotazamiwa?
Pamoja na kwamba sehemu kubwa inazalishwa na shirika lao la umeme KenGen, lakini sehemu inayozalishwa na makampuni ya kigeni, na kuuzwa kwa gharama kubwa kwa kampuni ya usambazaji umeme, bado geothermal' haiwapi ahueni yoyote katika gharama za umeme.

Sielewi kwa nini na sisi tunatafuta kuiga 'model' ileile ambayo inawapa matatizo makubwa wenzetu hawa!
 
Waliwekewa mfumomzuri wakukusanya kodi sasa wanaona hela zinajaatu hazinakazi ndio matokeoyake hayo.
 
We Polepole unalalamika sana
Mimi sihusiki plz,nilishakatwa mkia nipo Lilongwe. Nimeletwa huku ili nisiwe active na siasa za ndani ya chama,nyie pambaneni na hali yenu. Mpeni Rostam tender ya kusambaza( kutengeneza) hiyo miundo mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…