Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Hivi hawa BASUTA wanasemaje?SIKU ZOTE MUNGU NI MWEMA ASANTE TEC KUWAFUMBUA MACHO WATANGANYIKA ENDELEENI KUFICHUA MADUDU ya SHETANI
Najiuliza swali kama hili na kuna siku niliweka uzi kabisa wenye swali hilihili moderators wakaufuta.Sawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI,wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
Na ndo kanisa lenye nguvu mnoNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana.. wamemaliza ujinga wa DPW.. muda si mrefu Mama atatema bungo,Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie๐๐.. Ile sheria ya mali asili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali ๐๐๐ So far ile sheria haijaguswa.. Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania,TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.. ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Wapi Sheikh Mwaipopo na mukati ya BAKWATA![emoji1787]Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Shida Dinari za Mwarabu walizokula watazilipaje.Wakina Kitenge wajiandae kulipa naniii.......Kwamba Dp world kaondoka? [emoji23]
Jamani watu wapo kimya hata tender hawajaelewa ๐๐ ngoja tuone yaani serikali hata wiki haijapita ilisema inaendelea na Dp world ...Leo mnasema wameachana .Shida Dinari za Mwarabu walizokula watazilipaje.Wakina Kitenge wajiandae kulipa naniii.......