Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.

Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.

Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.

Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Maaskofu elimu ipo na wanauzungu fulani sio wale kenge wa jangwani wanalalamika kila kitu
 
Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.

Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.

Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.

Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Napenda kumpongeza sana Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan . Kama ni kweli kwa uamuzi huo mgumu. Napenda kumpongeza kila mtz awe aliupinga mkataba au aliutetea. Nachoweza kusema Tanzania imeshinda hakuna mshindwa wala mshindi. Tuna nchi moja ya kuipigania na kuijenga. Hongeren jf u deserve .
 
Maisha yako kasi .

Msemaukweli Chakubanga mataga lialia huandiki siku hizi namba mwisho wa uzi.

Kweli bandari imetuibulia mengi sana.

Vipi ndugu CCM walishakutema nini maana mkishatoka huko ndio akili zinarudi mnaacha upambe .
 
Napenda kumpongeza sana Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan . Kama ni kweli kwa uamuzi huo mgumu. Napenda kumpongeza kila mtz awe aliupinga mkataba au aliutetea. Nachoweza kusema Tanzania imeshinda hakuna mshindwa wala mshindi. Tuna nchi moja ya kuipigania na kuijenga. Hongeren jf u deserve .
Ikiwa waliochonga balaa hili na kuweka wino bado wanadunda
bado hatujaenda mbali. Usisahau wachongaji wa dili walipokea bundle.
Uliwahi kusikia mwarabu anatoa chake bure?
 
Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.

Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.

Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.

Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Ndugu, serkali ya ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Watu wamesha chukua chao na bandari yenu lazima wainywe tu
 
Bila kuwasahau Shura ya Maimamu Tanzania.
Walishauri vizuri sana kuhusu Mkataba wa DPW.

Naomba Serikali iyatumie haya Mabaraza Mawili ya Dini katika Ushauri wa kitaalamu kuhusu maswala ya nchi yetu.

Pongezi Sana Shura ya Maimamu
Pongezi Sana TEC [emoji120][emoji120][emoji120]

Naomba endeleeni na moyo huo huo wa kuwapigania Watanzania wa leo na wajao.

Wajanja Walisha Mpiga Mama Samia.

Kuhusu Bunge nashindwa kusema naogopa kuchukuliwa hatua za kisheria wakati sina nguvu ya kupambana nalo.

Naomba Bunge iwe mara ya mwisho kukubali mikataba ya Hovyo namna hii.
Nasema tena Bunge iwe mara ya Mwisho.[emoji3516]
 
Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.

Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.

Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.

Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Wajinga tunaoishi nao watakupinga na kutukana
 
Ikiwa waliochonga balaa hili na kuweka wino bado wanadunda
bado hatujaenda mbali. Usisahau wachongaji wa dili walipokea bundle.
Uliwahi kusikia mwarabu anatoa chake bure?
Kaka ni bora hata kama ni bajeti yetu tutoa tu kuwalipa hao jamaa ila sio kwa mkataba ule. Laiti watu wangejua waarabu walivyo na Roho mbaya wala wasingethubutu kuwasogelea. Ni kwa vile tumeshea nao dini basi tu. We angalia pale loliondo tangu wapewe ni kitu gan cha kijamii wamefanya mpaka leo.
 
Back
Top Bottom