King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Iambieni Tec itoe maelekezo hayo si mnatuaminisha yenyewe ndo kiboko ya serikali!!Waje hadharani na kudai wamefuta dude Hilo Fake la Bandari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iambieni Tec itoe maelekezo hayo si mnatuaminisha yenyewe ndo kiboko ya serikali!!Waje hadharani na kudai wamefuta dude Hilo Fake la Bandari.
Nasikia nao hawaelewi, kuwa walipitisha nini. 😀😀, walijikuta tu wanagonga meza Kwa ajili ya kushangiliaSawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
DP world wanakuja soon endeleeni kujifariji upumbavu siku wakianza kazi msije mkafuta comments zenu make tushazisevu.TEC waseme chochote sasa tutakuwa nao pamoja. Asante TEC kwa kuiokoa nchi.
Kama wana uwezo wa kutafuna kitumbua kilichoingia mchanga na waje!!DP world wanakuja soon endeleeni kujifariji upumbavu siku wakianza kazi msije mkafuta comments zenu make tushazisevu.
Maaskofu elimu ipo na wanauzungu fulani sio wale kenge wa jangwani wanalalamika kila kituNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Napenda kumpongeza sana Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan . Kama ni kweli kwa uamuzi huo mgumu. Napenda kumpongeza kila mtz awe aliupinga mkataba au aliutetea. Nachoweza kusema Tanzania imeshinda hakuna mshindwa wala mshindi. Tuna nchi moja ya kuipigania na kuijenga. Hongeren jf u deserve .Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Kwamba Dp world kaondoka? [emoji23]
Wanaendelea kuvimba, wakisubiri pension na gratuity.Sawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
Ikiwa waliochonga balaa hili na kuweka wino bado wanadundaNapenda kumpongeza sana Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan . Kama ni kweli kwa uamuzi huo mgumu. Napenda kumpongeza kila mtz awe aliupinga mkataba au aliutetea. Nachoweza kusema Tanzania imeshinda hakuna mshindwa wala mshindi. Tuna nchi moja ya kuipigania na kuijenga. Hongeren jf u deserve .
Ndugu, serkali ya ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Watu wamesha chukua chao na bandari yenu lazima wainywe tuNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Hivi ONE-5H imerudi?Kwamba Dp world kaondoka? 😂
Wewe
Sio form four leaver mkuu acha unafiki. Wewe ni graduate
Wajinga tunaoishi nao watakupinga na kutukanaNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Wabunge wanaowakilisha matumbo yao na c Wananchi.huwa najiuliza HV walipigiwa Kura na wananchi wenye akili gani?Sawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
Kaka ni bora hata kama ni bajeti yetu tutoa tu kuwalipa hao jamaa ila sio kwa mkataba ule. Laiti watu wangejua waarabu walivyo na Roho mbaya wala wasingethubutu kuwasogelea. Ni kwa vile tumeshea nao dini basi tu. We angalia pale loliondo tangu wapewe ni kitu gan cha kijamii wamefanya mpaka leo.Ikiwa waliochonga balaa hili na kuweka wino bado wanadunda
bado hatujaenda mbali. Usisahau wachongaji wa dili walipokea bundle.
Uliwahi kusikia mwarabu anatoa chake bure?