eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Yaani wanatengeneza mkataba wa Kimangungo kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi,.....Lahaulah, tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.Awamu ya sita imeongoza kuwa na viongozi wasio wazalendo kwa taifa lao. Laiti wangejuwa wajibu wao kwa taifa ili leo tungepiga hatua kubwa baada ya Hayati Rais Magufuli kuandaa Njia.
Moderators inaonekana wamekuwa compromised, nyuzi nyingi zinazosema ukweli kuhusu sekondari na viongozi wake zinafutwa!Najiuliza swali kama hili na kuna siku niliweka uzi kabisa wenye swali hilihili moderators wakaufuta.
Mzee wa upako na kikanisa chake alikuwa upande wa DP World.Na ndo kanisa lenye nguvu mno
Asanteni TEC nawatakia sabato njema.Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Yule jamaa ni mpuuzi tu alafu ni litapeli tuMzee wa upako na kikanisa chake alikuwa upande wa DP World.
kaka uko nchi gani? mbona dpw kashapewa bandari na utekelezaji wa awali umeshaanza. ccm wameziba masikio na kuvaa miwani ya mbao, wanachojali wao ni matumbo yao na uchaguzi 2025Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Mwezi wa kumi mwishoni DP World wanaanza kazi pale bandarini, jiandae kisaikolojia kuumia nafsi yako.Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Mkubwa akifumaniwa uchi huchuchumaa!Waje hadharani na kudai wamefuta dude Hilo Fake la Bandari.
Siasa ya bongo huwa hairudi nyuma......amini hilo Dp ipo pale PALE
Akili za mjomba Magu hizo naye hawezj kukwepa lawamaTatizo ni kukosekana mawazo mbadala Bungeni. Kosa hilo lisirudiwe tena ni hatari kwa mustakabali wa nchi.
Sijui TEC walikuwa wapi enzi za wasiojulikanaNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Wengine wakasema eti tunapinga uislam na warabu.......hee!!! ApedomyaaaaHii nchi tunaishi watu wa ajabu sana
Kila aliyejaribu kusema mkataba ni mbaya alijibiwa anampinga Mama na haipendi nchi anakwamisha uwekezaji, ni mdini, mara amehongwa na Karamagi.
Walidhani upinzani unawakwamishaTatizo ni kukosekana mawazo mbadala Bungeni. Kosa hilo lisirudiwe tena ni hatari kwa mustakabali wa nchi.
Awamu ya sita imeongoza kuwa na viongozi wasio wazalendo kwa taifa lao. Laiti wangejuwa wajibu wao kwa taifa ili leo tungepiga hatua kubwa baada ya Hayati Rais Magufuli kuandaa Njia.
Hahahaaa.....Kiendacho kwa mganga.