eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Yaani wanatengeneza mkataba wa Kimangungo kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi,.....Lahaulah, tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.Awamu ya sita imeongoza kuwa na viongozi wasio wazalendo kwa taifa lao. Laiti wangejuwa wajibu wao kwa taifa ili leo tungepiga hatua kubwa baada ya Hayati Rais Magufuli kuandaa Njia.