Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kwani wewe hujui kuwa karne hii Bishara zinafanyika kwanye Mtandao, Matajiri wanashinda mtandaoni kufanya biashara.Utapigaje vita umasikini wakati unashinda kwenye mitandao?
HehehheTEC waandike Waraka Kuhusu Ben Saanane
Huenda akapatikana
Unaishi kizamani sanaUtapigaje vita umasikini wakati unashinda kwenye mitandao?
Awamu ipi ilishawahi kuwana viongozi wazalendo ktk nchi hii?njia ipi hiyo aliyokuwa ameiandaa?!!yaani mzalendo anataka kila jambo lifanyike kwa siri?!!Awamu ya sita imeongoza kuwa na viongozi wasio wazalendo kwa taifa lao. Laiti wangejuwa wajibu wao kwa taifa ili leo tungepiga hatua kubwa baada ya Hayati Rais Magufuli kuandaa Njia.
We ndio maskini sasaUtapigaje vita umasikini wakati unashinda kwenye mitandao?
Hela za Escrowe zilitumbukizwa katika Benki yao na Mamlaka ya Nchi na Askofu aliyehusika ni mmoja tu Kilaini na alishachukuliwa hatua za kinidhamu ndio maana haonekani tena hapa Daresalaam wala kuongea ongea mtandaoni.Hawa maaskofu walio kula hela Escrow ndio wanapambania vyanzo vyao vya madili visiguswe. Hawana kipya hao na watanzania wameisha waona ni wapigania maslahi yao.
Lengo la Mkataba wa bandari ni zuri ila tatizo tumekataa vipengele vya kuwapa waarabu umiliki WA milele!Hii nchi tunaishi watu wa ajabu sana
Kila aliyejaribu kusema mkataba ni mbaya alijibiwa anampinga Mama na haipendi nchi anakwamisha uwekezaji, ni mdini, mara amehongwa na Karamagi.
Hivi ni kweli yale mapungufu ya mkataba viongozi akiwemo Mhe. Rais hayaoni?
Mimi form four leaver sio mwanasheria naona je Mama na Ofisi yake haoni kweli?
Binafsi nimepoteza imani sana na viongozi wa kisiasa akiwemo Mhe. Rais kutokana na hili suala la mkataba wa DP World.
Yes! Ili tu kurekebisha mkataba kisha wanarudi kivingine.Kwamba Dp world kaondoka? [emoji23]
Wamea za kutafuta kazi nyingine. Most of them 2025 hawarudi mjengoni hasa uchaguzi ukiwa huru na wa haki.Sawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
Huo msala wao wala rushwa watajiju!Vipi zile hela walizohonga dp world kwa wauza bandari, zinarudi kwa mfumo upi!
Kumbuka Dp world wanaendelea na process kwa mujibu wa IGA sasa wakianza kazi rasmi usije kusema tena huna imani na TEC.Sisi tunaimani na TEC
Zito kasikia lakini na lichama lake la mguu wa kushotoNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Aliyeanzisha uislamu ni vatocanica!!Fuateni huko majuu watu wanayakimbia makanisa na mengi yameanza kupigwa mnada na mengine yamenunuliwa na kutakaswa na kukoshwa na baadae kufanywa misikiti,inafurika ,wale mnaowaita wazungu sasa wameanza kujua ipi dini ya kweli na ipi pumba ,kwa maana makundi kwa makundi wanaacha makanisa na kuufuata ISLAM.
Ila hapa Afrika bado mnachezezewa na shetani na ndio mkaona bilisi anazidi kuwapoteza kwa kuona kanisa lipo na ukweli ,na katika mia anayosema bilisi aka shetwani moja linakuwa na ukweli. Hapo ndipo anapowazoa wengi wanaoingia jehannam.
Islam inakuwa dini kuu UK 2025 ,kama hamjapata habari baada ya waumini wengi wa kikiristo kuanza kuyakimbia makanisa.
Hizo kelele za chura tu hazimzuii tembo kunywa maji TEC wamepuuzwa kama walivyopuuzwa DP anawekeza na ataendelea kuwekeza TzNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Vyeo vya askofu. 1. Mchungaji, 2. Nabii, 3. Mfalme. wana uwezo wa kutumia marungu yote kwa pamojaAlama nne za Kanisa:
▪︎ moja
▪︎ takatifu
▪︎ katoliki na
▪︎ la mitume
. WabakajiAlama nne za Kanisa:
[emoji830]︎ moja
[emoji830]︎ takatifu
[emoji830]︎ katoliki na
[emoji830]︎ la mitume
Wakatolik wahuni tuuSawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?