Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo


Jamaa wewe una akili sana nimejifunza kitu kikubwa kwako
 
Ukimsomesha mwanao kayumba mtaani unachekwa, kuna mother mtaani kapanga chumba kimoja halafu anamsomesha mwanae efemu akademia anachukuliwa na gari....... Ni maamuzi tu tuwaache mambo yakiwa magumu watawarudisha KAYUMBA.
 
Naishi dar es salaam ubungo , kata ya makuburi
Aah sawa mkuu, ila kama kauwezo kapo pambana mkuu mpeleke private mkuu atapata ka elimu katakako muwezesha hapo mbeleni akawa na kauwezo ka kuji express him/her self mbele ya wasomi Wa mataifa mengine kwa ujasiri.

Hivi unajua kwa nini Baba yetu mpendwa aka RAIA no one alituaibisha alipoulizwa kaswali kadogo na mwandishi Wa habari akiwa na Museveni, ye akajibu tu simple eti do you rove corruption.
 

Hoja yako sijaielewa... yaani nimsomeshe english medium ili ajue kiingereza kama Museven
 
Hawana exposure..na kujiamini.
Kujua lugha hakukufanyi smart... Au kujua kabla ya mwingine hakukufanyi uwe na akili zaidi yake.. mtoto anatakiwa ajue hilo mapema maishani.

Elimu ni kutafsiri maarifa uliyopewa au kupata katika maisha yako ya kila siku. Mtoto anajua kiingereza hajui kufunga kamba za viatu inamsaidia nini!?
Mtoto anajua kiingereza hawezi kwenda sokoni mwenyewe na kurudi itamfaanini!?

Logic and Reasoning ndio muhimu. Kwa level za chini watoto wanatakiwa kuwa curious... Mid ages waweze kuleta connection na theory na uhalisia katika maisha yao.. mtoto awe huru atleast saa 9 saa kumi aende akacheza apumzike kutoka shule ... Ukizidisha hapo unaua curiousity mtoto anakuwa duster ananyonya kila kitu kama kilivyo without Reasoning
 
Anawachallenge kwa lugha hiyo ya kigeni au na kwenye Hisabati, Fizikia, Chemia na mengineyo?
 
Hoja yako sijaielewa... yaani nimsomeshe english medium ili ajue kiingereza kama museven

Baba alifurahi kweli yule hakimu alivyotoa hukumu kwa kiswazi, akampiga u judge.
 
Una point kubwa sana ila umeenda nje ya uzi upande wa asset

Je kama huna asset? Uzi umeongelea wenye asset ama wasio na asset?
Kama huna asset,komaa na shule zetu za kawaida ila hapa unatakiwa na wewe mzazi, uwe na utiari wa kuwa mwanafunzi kabisaa ili muende sambamba na mwanao,maana itakubidi uwe nae karibu Sana.
 
Mkuu tusiime wanatumia syllabus anayofundishwa mtoto wa huko Lindi vijijini?
 
Taratibu tunaanza kuelewana sasa, nilianza mimi akafata bwana Billy na hatimae Freshman! Kadri mda unavyoenda naona matumizi mazuri ya akili yanazidi kuongezeka miongoni mwa wana JeiEFu 😁😁😁 hili linafurahisha.

Kama aina ya viongozi ndio hawa wanaosema vijana wengi hawafanyi kazi sijui kwanini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni aheri wananchi tukachanga karata zetu vizuri zaidi.
 
Fainali uzeeeni.....ishu nzima ni output baada ya kumaliza chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…