Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

Basi tuukumbatie udjingah
 
 

Your browser is not able to display this video.
 
Nina Rafiki yangu hali yake ya uchumi ni ngumu sasa awamu hii. Yani hana kazi maalumu na kipato chake hata kwa mwezi hakifiki 1m. Anawatoto 3. Wanasoma private school ada 1.8 kwa mwaka. Mpaka sasa hajalipa hata 100 ya adda ya mwaka huu. Na ile ya mwaka jana alikopa kwa ndugu baada ya wanafunzi kufukuzwa. Namshaur arudishe watoto kwenye shule za kawaida ila hasikii anataka aonekane wa kishua
 
Ukijua Kizungu unakuwa sio mjinga!?
Maana takwimu zinaonesha achilia mbali wajinga (illiterates) kuna mpaka wenye mtindio wa ubongo na wanaongea kiingereza.

Acha kushikiwa akili ndugu yangu.
Kwahiyo hao watoto huko Shuke wanafundishwa English pekeyake?
 
Kina wema sepetu, kina uwoya wamesoma hizo shule at the end wameishia kuuza sura na kina late kanumba, jb, muogo mchungu, kigwendu😂😂😂

Kina jojo sukari ya kisarawe ikaishia kwa kina nasibu nyange ali kiba watoto wa mjini.
 
huyo kijana wako anakutana na A level vilaza mkuu, tena A level wa masomo ya Art. Lakini A level wanaosoma sayansi physics, chemistry, math, biology haya masomo hayahitaji ujue kiingereza ni kumeza kwako kanuni, michoro, kukokotoa hesabu, na kuzikuma projectile, hapo kama huna akili ya kuzaliwa hata uwe ujue kiinglish kichwa kinagoma tu.
 
muache apambane na hali yake,akikata pumzi atajipeleka mwenyewe kwenye shule zetu pendwa.
 
Subili matokeo ya kidato Cha nne atakapofika ndo utapata majibu kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…