dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,125
- 1,108
[emoji1787][emoji1787]Naomba basi nikuoe.. hela sina za kuonekana tajiri ila njaa sitakulaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Naomba basi nikuoe.. hela sina za kuonekana tajiri ila njaa sitakulaza
Sehemu.tulipowezwa ni hapa..
Mtoto wako, anakuja kuishi Tanzania hiii hiii unahangaika awe mzungu..hahaha.. na anafundishwa matatizo ya kizungu, kwa lugha ya kizungu..akitoka huko ameshakuwa mzungu anakuja kwa watz mtaani anaanza moja.. 🙂
Na cha kufurahisha ni sisi wazazi ndio tunakuwa tumewanunulia watoto wetu hiyo delay huku mtaani. Elimu tuliyomnunulia ndio imekuwa kikwazo..
Bora kila mwaka ungekuwa unamnunulia mtoto ng'ombe nne ..anasoma shule ya laki tano kwa Temu.. akija kumaliza shule anakuwa na ng'ombe 68 ukiweka kuzaa na kufa hakosi ng'ombe 100 kwenye kipindi cha miaka 16 ya kusomea elimu.
Na elimu yenyewe ndio imekuwa uchuro uchoro mtupu
Kuna wazazi wanapata stress ikifika kipindi cha kulipa ada mpaka wanatia huruma.Ukimsomesha mwanao kayumba mtaani unachekwa,kuna mother mtaani kapanga chumba kimoja halafu anamsomesha mwanae efemu akademia anachukuliwa na gari.......Ni maamuzi tu tuwaache mambo yakiwa magumu watawarudisha KAYUMBA.
Kwa laki nane hiyo hiyo,watoto wanasomeshwa shule za English medium,assets zinanunuliwa,na mipango mingine ya siku za usoni inajengwa,na unaposema shule za gharama ilibidi ufanunue,we wakati unaona millioni moja ni pesa kibao kulipa Ada,wenzio wanalipa millioni 3!na huyu wa millioni 3,akifikiri analipa ada kubwa,Kuna watoto wanalipiwa millioni 40! Kwa mwaka,Tanganyika international school!Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri kila siku mfatilie hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Huu ni Uongo, mwanao ni Extra Ordinaly na Sio Sababu ya hizi Shule.....Hivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academics sijui private school eti wanaishia kujua lughatu,mi natofafautiama na we we mkuu,Kijana wangu yuko std seven hizo shule,sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata.na wanamkubali mbaya.
Kuelew umeelewa,sasa unataka kufundishwa kila kituMtoa mada shule za bei nafuu ni kuanzia kiasi gani kwa mwaka?
Mkuu baadhi ya shule za private zina makusudi sana,yani wanatafuta kuzipatia shule sifa katika ufaulu ili wapate wateja.Huu ni Uongo, mwanao ni Extra Ordinaly na Sio Sababu ya hizi Shule.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakutana na A level waliosoma kuanzia la kwanza hadi form six shule za kata,ila wale waliotoka shule za private wakaenda A level shule za sirikali hao nadhani hajakutana nao maana watakuwa vizuri mkuu.huyo kijana wako anakutana na A level vilaza mkuu, tena A level wa masomo ya Art. Lakini A level wanaosoma sayansi physics, chemistry, math, biology haya masomo hayahitaji ujue kiingereza ni kumeza kwako kanuni, michoro, kukokotoa hesabu, na kuzikuma projectile, hapo kama huna akili ya kuzaliwa hata uwe ujue kiinglish kichwa kinagoma tu.
Angalia huyu mshamba mwingine huku duniani, watu wanamaanisha maisha ya mtu baadae pamoja na kusoma hizo english school na mtu aliyesoma kayumba,ukweli ni kwamba watu wa kayumba wengi ndo utakuta wanatoboa maisha, hawa wa kwenu ambo unakuta wanasoma wengine mihula ya uingereza huishiaga kwenye ubishoo tu na wanatafuta kwenda kufanya kazi nje, kule ukubwani au uzeeni wanarudi na mikogo tu ya kutembea wametanua mikono na miwani ya jua machoni huku wameacha kizazi chao kikiishi utumwani ugenini na kua wamekimbia aridhi ya uzao wao,endelea kumsifia wa kwako bado yuko darasa la 7, huyo siyo jiwe anakua, akikua utaona kitakacho tokea labda tu awe amezaliwa na utashi wa asili, vinginevyo utajuta tu maana tumewaona wengi kwenye familia na majiraniHivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academics sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
Kufaulu maisha?Uhakika wa kufaulu upo kwenye private schools. Pitia matokeo shule za serikali. Hali ni mbaya.
hayo maneno ya "ufaulu umeongezeka" yasikie hivyo hivyo
Hata kiingereza chenyewe wanachokijua si kwa kiwango hicho kwani hata Waalimu wanaowafundisha wanababaisha tu. Mi nazani wazazi wengi wanafuata mkumbo tu ila sizani km wanafanya tathmini ya gharama za huo uwekezaji.Mimi namtazamo mwingine japo sitofauti sana na wewe, mimi naona ni vyema kipindi hichi wazazi wenye kipato cha kawaida wakawa na malengo ya kuja kuwekeza zaidi kwa watoto wao kwenye elimu ya juu huku chini hakuna haja sana sababu watoto wanaishia kujua lugha tu.
OK.Angalia huyu mshamba mwingine huku duniani, watu wanamaanisha maisha ya mtu baadae pamoja na kusoma hizo english school na mtu aliyesoma kayumba,ukweli ni kwamba watu wa kayumba wengi ndo utakuta wanatoboa maisha, hawa wa kwenu ambo unakuta wanasoma wengine mihula ya uingereza huishiaga kwenye ubishoo tu na wanatafuta kwenda kufanya kazi nje, kule ukubwani au uzeeni wanarudi na mikogo tu ya kutembea wametanua mikono na miwani ya jua machoni huku wameacha kizazi chao kikiishi utumwani ugenini na kua wamekimbia aridhi ya uzao wao,endelea kumsifia wa kwako bado yuko darasa la 7, huyo siyo jiwe anakua, akikua utaona kitakacho tokea labda tu awe amezaliwa na utashi wa asili, vinginevyo utajuta tu maana tumewaona wengi kwenye familia na majirani
Hivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academics sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
Anawachallenge kwa lugha hiyo ya kigeni au na kwenye Hisabati, Fizikia, Chemia na mengineyo?