Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

Kuna baadhi ya watu humu wanachekesha.
Msizifananishe international schools zenye mitaala ya IB, Cambridge na Mitaala hii yetu.
Pia kama kipato kipo bora kupeleka watoto huko, bond na urafiki atakao kuwa nao utamnufaisha sana baadae na hiyo ni investment nyingine tofauti na kayumba.

Huu uzi umetaja shule za english medium kwa watu wenye vipato vidogo.

Hakuna mwenye kipato kidogo anaesomesha mtoto IST
 
Habari wadau..

January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.

Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.

Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.

Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na ceo wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi zao ambazo walikuwa wanasoma msingi, hizo olimpio na arusha school zilikuwepo tayari ila wala hawakusoma hizo shule na leo wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..

Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za serikali kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Mkuu

Hii kitu Huwa nabishana Sanna na staff members pale kazini!!

Conservatives wananiona mkoloni,lakini nawaambia Mungu ni tajiri Dana hajaumba Kila Binadamu lazima afike chuo kikuu,lazima awe na vyeti fulani fulani!

Wengine watakula Kwa vipaji vyao kama ufundi,biashara na mengineyo sio lazima uue kipaji Cha mtoto Kwa kukaa shuleni miaka 16 ahitimu degree!!

Wananiona mshamba sana!!

Mi nawaambia live nimezaa watoto sio lazina wooote waende chuo kikuu wengine wataishia vyuo vya ufundi wengine form four na wengine wataenda Hadi huko.versity watafanya kazi za kujiajiri na frem na location nishajenga njia panda muda ukifika TU nawaondoa wapangaji na wao wataanza Biashara zao rasmi waingie kwenye mfumo wa ujasiria mali!!

Huu ujinga wa kulemaza vipaji vya watu Kwa elimu ya kukariri Hadi versity ni ujinga was karne wasome wenye vipaji sio kulazimisha kila mtu!!
 
Ongeza round ya kwnza imeisha... Mtoto wa miaka sita anaweza kupanga hoja kwa ujasiri hadi naogopa kitu ambacho me wa kayumba hata nikiwa high school nlikuwa siwez halafu leo eti nimpeleke kata... Kweli ntakopa kikoba mwanangu asome inglish midiyam
Kasome ualiim..utaeelewa maana ya personal IQ
 
Mkuu

Hii kitu Huwa nabishana Sanna na staff members pale kazini!!

Conservatives wananiona mkoloni,lakini nawaambia Mungu ni tajiri Dana hajaumba Kila Binadamu lazima afike chuo kikuu,lazima awe na vyeti fulani fulani!

Wengine watakula Kwa vipaji vyao kama ufundi,biashara na mengineyo sio lazima uue kipaji Cha mtoto Kwa kukaa shuleni miaka 16 ahitimu degree!!

Wananiona mshamba sana!!

Mi nawaambia live nimezaa watoto sio lazina wooote waende chuo kikuu wengine wataishia vyuo vya ufundi wengine form four na wengine wataenda Hadi huko.versity watafanya kazi za kujiajiri na frem na location nishajenga njia panda muda ukifika TU nawaondoa wapangaji na wao wataanza Biashara zao rasmi waingie kwenye mfumo wa ujasiria mali!!

Huu ujinga wa kulemaza vipaji vya watu Kwa elimu ya kukariri Hadi versity ni ujinga was karne wasome wenye vipaji sio kulazimisha kila mtu!!
Unakuta mtu ana watoto 5 wote anataka wasome wafike hadi chuo 😄
 
Mwaka fulani nilipanga mbezi beach, mtoto wa mwenye nyumba alikua grade 6 wenyewe wanaita kwenye hizo shule zao za mapesa hihaaa.

Dogo ngeli imenyooka lakini hata uwezo wake wa akili na namna anavyotoa hojaz unaona kabisa hapa anaweza mchallenge kijana wa kayumba. Sema alikutana na mimi sikua mzembe shule nilinyoka nae sana.

Mwanangu nitamsomesha shule nzuri tu, kiingereza ni muhimu sana kukijua, kwakua wengi wanafeli si kwasababu wana akili ndogo, ila hawajaelewa lugha inayotumika kufundishia.
 
Mkuu

Hii kitu Huwa nabishana Sanna na staff members pale kazini!!

Conservatives wananiona mkoloni,lakini nawaambia Mungu ni tajiri Dana hajaumba Kila Binadamu lazima afike chuo kikuu,lazima awe na vyeti fulani fulani!

Wengine watakula Kwa vipaji vyao kama ufundi,biashara na mengineyo sio lazima uue kipaji Cha mtoto Kwa kukaa shuleni miaka 16 ahitimu degree!!

Wananiona mshamba sana!!

Mi nawaambia live nimezaa watoto sio lazina wooote waende chuo kikuu wengine wataishia vyuo vya ufundi wengine form four na wengine wataenda Hadi huko.versity watafanya kazi za kujiajiri na frem na location nishajenga njia panda muda ukifika TU nawaondoa wapangaji na wao wataanza Biashara zao rasmi waingie kwenye mfumo wa ujasiria mali!!

Huu ujinga wa kulemaza vipaji vya watu Kwa elimu ya kukariri Hadi versity ni ujinga was karne wasome wenye vipaji sio kulazimisha kila mtu!!
Hii mambo ya kudiscourage watu wasisome wapate maarifa ni tabia fulani imeanza kujitokeza hivi karibuni hasa Tanzania

Hatuwezi kukaa hapa kama jamii eti tunapanga mipango ya ku-incentivize kutokusoma

Kama mtu anaweza kusoma kwa upeo wa akili yake afike level anayoitaka yeye na akienda zaidi kuwe na system ya ku-reward that maana elimu kubwa inasaidia kufanya innovation breakthrough fundamental kabisa ya civilization

Utajengaje spacecraft ya kwenda Mars au kurusha satelite ya internet communications ili tuweze kupata internet,etc bila kusoma advanced mathematics?

Kila mtu akiwa anakwepa nani atafanya?

Tutaishia kua taifa la consumption tu hakuna patents wala innovation serious we can offer the world and create wealth for the country and individuals

Elimu ni elimu tu haina shortcut,hutaenda darasani formally ila utafanya huko nje the same ili uwe na hayo maarifa....

Maarifa hayana mkato,aidha uyapate darasani au nje ya darasa

Kama hupendi mazingira ya darasa,thats on you,ila ukitaka kujua mahesabu ya kupeleka satelite kwenye orbit ni lazima usome uelewe ukiwa chini ya mti au gereji au chooni or whatever u wish!

Ila zile eliptical equations ni lazima uzipitie we dont care umejulia wapi Harvard au chooni kwenu huko madongo kuinama or whatever u call it.
 
Hii mambo ya kudiscourage watu wasisome wapate maarifa ni tabia fulani imeanza kujitokeza hivi karibuni hasa Tanzania

Hatuwezi kukaa hapa kama jamii eti tunapanga mipango ya ku-incentivize kutokusoma

Kama mtu anaweza kusoma kwa upeo wa akili yake afike level anayoitaka yeye na akienda zaidi kuwe na system ya ku-reward that maana elimu kubwa inasaidia kufanya innovation breakthrough fundamental kabisa ya civilization

Utajengaje spacecraft ya kwenda Mars au kurusha satelite ya internet communications ili tuweze kupata internet,etc bila kusoma advanced mathematics?

Kila mtu akiwa anakwepa nani atafanya?

Tutaishia kua taifa la consumption tu hakuna patents wala innovation serious we can offer the world and create wealth for the country and individuals

Elimu ni elimu tu haina shortcut,hutaenda darasani formally ila utafanya huko nje the same ili uwe na hayo maarifa....maarifa haya mkato,aidha uyapate darasani au nje ya darasa,ubonge ni lazima uchemke regardless!

Ili uweze Kusoma Advance mathematics , engineering ama medicine unahitajika usome Shule za private kuanzia primary ?

Je Ukisoma kayumba shule ya msingi madenge.. mbeleni hutaweza kuelewa hesabu ?
 
Mkuu naona choice za maisha yako unataka kufanya iwe standard kwa wengine

Nadhani hujui maana ya POWER OF CHOICE

Watu wanafanya decision according to their economic status,wewe huwezi private school kuna wanaoweza

Private School ni bora zaidi ya government school,kama wewe umechagua huko basi nenda huko,kuleta rai hapa kua wasiende ni kukoswa akili tu.

Kama shule umeona watu wasijichagulie basi kwenye magari utasema watu wasinunue Mercedes S-Class wanunue IST tu maana inatembea mwendo ule ule

Hutaishia hapo utasema bora nyumba ya chini gorofa haifai maana unalala kitanda kile kile

Hutaishia hapo utasema watu wanywe maji wasinywe bia au soda maana kiu ni kile kile

Hutakua na mwisho

Which makes your argument really stupid and useless

Waache wanadamu wafanye decisions and choices according to their economic means they can afford

Kua masikini hakukufanyi mtakatifu au mwenye moral authority zaidi ya wengine,ni masikini tu

Na kua tajiri hakukufanyi shetani na mwenye dhambi zaidi ya wengine
 
Maelezo marefu. Soma kichwa cha uzi.

Heading imejieleza vizuri.

Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo
 
Maelezo marefu. Soma kichwa cha uzi.

Heading imejieleza vizuri.

Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo
Mkuu

Nimejibu "reply" ya mtu..sijajibu heading ya uzi!

Get that in your head!
 
Unahangaika kumsomesha mtoto wako Private O level mpaka Advance. Anafika chuo hutaki kumlipia ada unamwambia akakope HSLEB ?

Baadae anaajiriwa ajira za laki 7 loan board wanakula 15% kila mwezi baadae unaanza kulaumu mtoto wangu hatutumii hela wazazi wake...[emoji16][emoji16]

Any way kupanga ni kuchagua.

Ila kwangu mm kama maisha yataendelea kua hivi. First born wangu lazima ni sacrifice kwenye shule za Serikali apambane huko kama mimi baba yake huku tukiweka life sawa
 
True.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu. Huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.

Tatizo la elimu yetu ni sylabus. Jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.

Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki.
Ujinga una gharama kuliko mnavyofikiri Kuna madogo baba yao kawekeza asset kuliko elimu sasa baba kafa washauza vyote Tena Bei ya kutupa mtoto ni kumwombea Mung
 
hakuna aliyekataa elimu. kinachopingwa ni elimu ya gharama.

wapo watoto kibao wanasoma shule za msingi za serikali na hata sekondari.. ila bado wanafanya vizuri na chuo wanafika udsm sawa sawa na wale waliosoma english medium school.
 
Back
Top Bottom