Kama Tanzania ingeshindwa vita ya Kagera: Je, Rwanda na Uganda zingefika hapa zilipofika leo?

Nakumbuka wakati huo niko Sec
Mara vita ikaanza baada ya hapo tukaona mabadiliko ya Uraisi mmoja baada ya mwingine na kurudishwa tena Milton Obote
Nawakumbuka walikuwa Godfrey Binaisa na Yusuf Lule na hawakushika madaraka hata mwaka chapchap wakatolewa
 
Hivyo, unadhani bila hii vita wakina Paul Kagame na Yoweri Museveni wangekuwa hapa walipo na kuendelea kuvuruga amani ya huu ukanda?
 
mkuu basi tu ni kwa vile kwetu kumkosoa mchonga ni mwiko..........

ila ingependeza kama mngetusaidia kuchimbua zaidi motive ya mchonga kuwafavour hawa jamaa........ kwnn hakuwapenda wale maraisi waliokuapo kabla ya hawa?.......


lkn pia mtusaidie tujue kwann mrisho alipambana kuhakikisha piere haondoki?? na kwann paulo ali-react vile?


sie wengine ndio tunakua, hawa kina katto ndio wanatufanya tuanze kutamani kujua tulikotoka!
Hivyo, unadhani bila hii vita wakina Paul Kagame na Yoweri Museveni wangekuwa hapa walipo na kuendelea kuvuruga amani ya huu ukanda ???
 
Ni nchi moja tu ukanda huu ambayo imevurugwa ambayo ni congo na kiuhalisia hiyo nchi inavurugwa na mabeberu

Rwanda na uganda sio chochote kwa ukanda huu saana tu wanajaribu kutunisha misuli tu
Mwisho hata wake zenu wasipozaa mtasingizia mabeberu. Waafrika tuna poor excuse kwa kila udhaifu tuliyonao na ndio maana maendeleo yetu hayatawezekana. We're really bogus.
 
Mipaka gani wakati sisi ndio tuliivamia uganda kwa kupeleka waasi wa idd amin wampindue ikashindikana ,
Nyerere Alikuwa mchokozi na mnafiki just like jiwe
 
Linchi likubwa sana hili!
 
Ndiyo, DRC ni kubwa kuliko Tanzania lakini imevurugwa sana na mataifa ya nje. Ukubwa siyo sababu ya sisi kuwa salama.
Usilinganishe kitu kimoja tu. Kwenye bandiko nalisema uzuri TISS wapo macho hivyo ukichanganya na ukubwa wa nchi hali inakuwa nafuu. TISS ya DRC unaijua, kuna serikali inayofanyakazi nchi nzima? Kuna loyality kwa viongozi wa nchi kwa nchi yao au ni mamluki. Kwetu ukubwa wa nchi ni faida kulingana na mazingira yetu.

Hata hivyo DRC ingekuwa kama Rwanda unadhani PK asingekuwa anaitawala yaani angekuwa Mkoloni wa DRC. Ukubwa wake umemfanya PK ashindwe kuitawala wala kuiteka yote

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…