Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!


na wanaume hawa kwa kawaida huzungumza na vibaraka hao katika lugha wanayoielewa vizuri hao vibaraka, in their own language.
 
Pasco Ninyi waumini wa Karma ina maana hiyo Karma yeye Mengi haimuhusu au yeye katika wote uliowataja hapo juu yeye ndiye aliyekuwa Sahihi?Ama Karma ni Kitu gani?
 
Last edited by a moderator:

Ameshindana na nani? Yeye anataka ufafanuzi ya habari iliyoko kwenye gazeti. Sasa kosa lake ni nini? Unataka anyamaze ilihali gazeti linaonesha amiri jeshi mkuu na ulinzi wa usalama anadaiwa kusema atamshughulikia? You are not serious.
 
Hivi kumfichua adui wa serkali ni usaliti? Pasco umejishusha leo!
 
Safari lazima Zitto atawafanya mtakuwa machizi hivi kwa siku uwa unamtaja Zitto mara ngapi?

Machizi ni hao wanaofadhili pasipo kujua Zitto pamoja na usaliti ni ndumilakuwili
 
ni UADILIFU na uzalendo kwa kiasi kikubwa, mengine ndo hayo ya kuwa mchapakazi na u-brightness kwenye nyaja zake.
 
Zitto huu utakuwa mwisho wako ngoja tuone .
 
Enough with this BIG-STICK DIPLOMACY.
Mengi is a mercenary.

he is behaving like a Russian Oligarch; thou trying to hide his shenanigans under a veneer of philanthropy.
with his deep pockets he ain't doing nothing than trying to vitiate the stability which most of the poor people strive so hard to preserve.
Methinks Zitto has turned Frankenstein to his own Master. You reap what you sow.
......and make no mistake laddie Zitto has never been a protege to no body; for the record not even to CHADEMA.
He is just a freelancer..So spare him all of your saber-rattling.

 
Hapo kwenye dash dash ni Mwa-na-Ha-li-si. Hilo gazeti ukiandika jina lake humu katika maandishi ya kawaida "haliandikiki" Jingine ni Ma-wi-o Sijui kuna tatizo gani ukitaja majina ya magazeti hayo huwa hayaandikiki humu JF
 
Mnaopinga alichotundika Pasco nafikiri hamjaelewa alicho andika. Anatujuza 'Karma' ni nini especially kwa wavivu wa kujisomea kama mimi.

Karma: The Buddhist belief that whatever you do comes back to you, e.g. if you do something good, something good will happen to you, and vice versa.

Sasa nyie mnaotoa maneno makali kwa jambo zuri tu lililoelezwa ni kwa nini? Rudia tena kusoma hilo tundiko kwa kutuliza akili bila kulalia upande wowote ule utaelewa kilicho andikwa.

Binafsi nimepata darasa fulani hivi.
 
JF siku hizi kweli imegeuzwa kijiwe cha ku-pass time.

yaani kweli kwenye hili mnategemea Zitto na/au JK wataukiri ukweli?
seriously don't tell me you guys are holding your breath for that confession, are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…