Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee