Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

Sahih kabisa.mr mahera ni kiongoz bora na tume hii ina viwango kushida hata dunia ya kwanza huko.
 
NEC siyo huru. Ndio maana yenyewe ipo dar wanaotangaza matokeo ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa no.Tume Huru maana yake inakuwa na watenda kazi mpaka Chini na wanajitegemea.
Hiyo ya kenya wanaotangaza matokeo ya huko majimboni ni nani?
Uhuru upo wapi wa hiyo Tume ya Kenya kama hata wenye Tume wamegawanyika na hawaiamini tena?
 
Naona Kenya imewatoa nishai mpaka mnajishtukia. Kuna mambo lazima uelewe.

1. Tume huru ni taasisi inayojitegemea ambapo watenda kazi wanaomba kazi na kupitishwa na Bunge sio Rais.

2. Viongozi wa Tume huru huwa hawataki kuwa wanachama wa chama chochote Cha siasa au kujihusisha huko nyuma kwenye chama Cha siasa.

3. Tume huru haina upande wowote wa siasa inasimamia sheria na taratibu. Ndio maana kwa Kenya pamoja na serikali kumuunga mkono raila bado tume haikusita kumtangaza matokeo kinyume na matarajio ya serikali.

4. Tume huru ya uchaguzi ndio kichocheo Cha kuvutia wananchi kupiga kura , maana wananchi wanaipenda kuhakikishiwa kura zao zipo salama.
Haya twende kwenye hoja moja moja, unapozungumzia serikali ya Kenya unamaanisha Viongozi wao wakuu ambao ni Uhuru na Ruto walimuunga mkono Raila au sivyo?

Kama tume ni kichocheo cha watu kujitokeza kupiga kura una takwimu za wapiga kura waliojitokeza Kenya katika uchaguzi wa juzi? Ni asilimia ngapi?
Kwako hizo asilimia za waliopiga kura ndio kujitokeza?

Una uthibitisho gani literary kwamba kuomba kazi ndio kipimo cha uhuru?

Nipe tofauti ya utangazaji wa matokeo wa Chebukati vs Jecha....
 
ni mpumbavu na shoga pekee ndio anayeweza kupinga tume huru ya uchaguz tanzania ni nchi ya wajinga na wapuuz sana ndio maana nilimsikia wakili mmoja kule kenya wakat anahojiwa na kituo kimoja cha TV anasema tofaut ya watanzania na wakenya ni kwamba wakenya wamesoma sana na kwamba kusoma huko ndio tatizo kwao lakin watanzanja wakitrend kwa bongo flavour kwao inatosha so huo ujinga wa watanzania utaondolewa na katiba mpya maana wajinga na wapumbavu tanzania ni wengi ndio maana wanaona kwenda mahakaman kulalamikia uchaguz ni tatizo kumbe tatizo ni ujinga wao uliosababishwa na mazezeta ya ccm aka malamba asali kupitia matozo.
Kama Tanzania ni ya wajinga na wapumbavu katiba yao italetwa na waelevu wa Taifa gani?
Naomba msaada Mpumbavu Mwenzangu!
 
Hizo pesa wangeenda kuzuia nzige wasiharibu mazao...
 
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
 
Nchi hii ngumu sana! Kama hitaji ni kujua kusoma na kuandika, si ajabu mawazo yatakuwa haya tu!! Aina hii ya raia ndio tatizo kubwa nchini!

Kwani hapa Tanzania hakuna kesi za uchaguzi zimewahi kufanyika kwa nafasi zisizo za uRais?? Hujui kuwa Tume ya Uchaguzi hairuhusu kesi dhidi ya nafasi za uRais? Kwma tunaamini mahakamani ndipo haki hutolewa - kesi za uchaguzi zina nafasi ya kufunguliwa. Kama hatuamini hilo tutazuia ili maamuzi ya Tume yawe ndio ya mahakama. Jecha na uchaguzi wa Zanzibar 2015 comes to mind!!
Haya siyo mawazo ya wananchi wengi bali ya mtu-chawa, anayekerwa sana na uwazi na umadhubuti wa uchaguzi wa Kenya. Hoja yake ya msingi ni kuhalalisha maigizo ya uchaguzi yanayofanyika hapa kwetu. Tutegemee sarakasi zaidi za aina hii tena kwa matendo ya wenye mamlaka mbele ya safari katika kuuhami mfumo unawaowapendelea.
 
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
UVCCM mtafika Mbinguni kwa kuvunja dari mkiwa mmechoka Sana.....
 
Naunga mkono hoja.

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja, tena kwa mujibu wa sheria iliyounda NEC ni tume huru ya uchaguzi ila tuu sio shirikishi. Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
P
Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi.. yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???
 
Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi..
Kama lengo la mapambio ni kusaka teuzi, then you are right napiga pambio sana lakini nasahaulika, lakini kama leongo la pambio ni hili Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! its not fair kunihusisha na wasaka teuzi!.
yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???
Nimesema Tume yetu ni huru kwa sheria iliyounda Tume ila sio shirikishi, na msingi wa uhuru wake ni ule ule wa Bunge na Mahakama!.
P
 
Back
Top Bottom