econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hizo kesi za mtu aliyeshindwa ni kusumbua raia nakutuchelewesha tu ,
Kushindwa kivipi?. Unaelewa maana ya dispute?. Mgombea mmoja ana asilimia 50.2 na mwingine asilimia 48.8 unategemea Nini?. Uchaguzi ulikuwa mgumu Sana na wameachana kwa kura chache Sana. Sasa hapo lazima dispute itatokea maana mmoja ameshinda kwa kura za ngome yake. Fuatilia taarifa za Kenya utaona kura zinazobishaniwa ni zipi.