Shusha hoja mzee, matusi yanazidi kukushusha!Mawazo ya mpumbavu yanaungwa na wapumbavu na pengine yakakubalika kwasababu wapumbavu ni wengi.
Pole Sana Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shusha hoja mzee, matusi yanazidi kukushusha!Mawazo ya mpumbavu yanaungwa na wapumbavu na pengine yakakubalika kwasababu wapumbavu ni wengi.
Pole Sana Tanzania
Ishu sio tume huru, kuna lijidudu wanaliita demokrasia ndo linaitesa africaUchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Ni kweli , Tume ya kwetu ni safi sana kwani ina walimu wazuri kama Kada wa CCM JechaUchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Kumbe wewe unatafuta umaarufu JF kwa ID feki??Shusha hoja mzee, matusi yanazidi kukushusha!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
😳😳😳Kumbe wewe unatafuta umaarufu JF kwa ID feki??
Kama haka kakichwa ulikokaweka hapo juu kakwako sishangai kuona Uzi wa hovyo hivi.Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Kawatetee kina Halima mdee na wenzake,PKama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...www.jamiiforums.com
Mleta Uzi na waunga mkono hoja wanashika nafasi za juuNiliwahi kuandika hapa kuwa wapumbavu nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana
Hawatakuelewa hao, biblia inasemaKushindwa kivipi?. Unaelewa maana ya dispute?. Mgombea mmoja ana asilimia 50.2 na mwingine asilimia 48.8 unategemea Nini?. Uchaguzi ulikuwa mgumu Sana na wameachana kwa kura chache Sana. Sasa hapo lazima dispute itatokea maana mmoja ameshinda kwa kura za ngome yake. Fuatilia taarifa za Kenya utaona kura zinazobishaniwa ni zipi.
Yaan tunatofautiana sana kufikiria kwa kweli, ila ndio mtaji wa ccm huo... wenye akili timam hawapendwi kabisa na ccmNiliwahi kuandika hapa kuwa wapumbavu nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana
Khaa🙄..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Mnaniboa miisema hivyo weee sio wa kwanza mnachosha bhana nendeni sehemu husika sio hapa"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Ndiyo akili zako zilipogota?Hivi ukiremba kinyesi kwa maua ndiyo unaweza na kukila?Very stupid!Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Kesi unakuwa umeibeba mabegani hadi ikusumbue na ikucheleweshe?Wengi wa wanaokuunga mkono wanajulikana na mipumbavu tu.Hizo kesi za mtu aliyeshindwa ni kusumbua raia nakutuchelewesha tu ,
Wewe unamzidi shetaniWa kwanza ni wewe ni mpumbavu wa kiwango Cha lami
Ujenzi upi,kusongambele kupi,tozo tozo tozo! Mtaweka tozo mpaka kwa wanandoa huko vyumbani mwao.Hao hao unaowaita wajinga ndio wajenzi wa nchi unayosema inatawaliwa na wajinga ,wajinga wanajenga wanajenga nchi tunasonga mbele mnapiga makelele mitandaoni mwehu kweli wewe