Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya kenya wanaotangaza matokeo ya huko majimboni ni nani?NEC siyo huru. Ndio maana yenyewe ipo dar wanaotangaza matokeo ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa no.Tume Huru maana yake inakuwa na watenda kazi mpaka Chini na wanajitegemea.
Haya twende kwenye hoja moja moja, unapozungumzia serikali ya Kenya unamaanisha Viongozi wao wakuu ambao ni Uhuru na Ruto walimuunga mkono Raila au sivyo?Naona Kenya imewatoa nishai mpaka mnajishtukia. Kuna mambo lazima uelewe.
1. Tume huru ni taasisi inayojitegemea ambapo watenda kazi wanaomba kazi na kupitishwa na Bunge sio Rais.
2. Viongozi wa Tume huru huwa hawataki kuwa wanachama wa chama chochote Cha siasa au kujihusisha huko nyuma kwenye chama Cha siasa.
3. Tume huru haina upande wowote wa siasa inasimamia sheria na taratibu. Ndio maana kwa Kenya pamoja na serikali kumuunga mkono raila bado tume haikusita kumtangaza matokeo kinyume na matarajio ya serikali.
4. Tume huru ya uchaguzi ndio kichocheo Cha kuvutia wananchi kupiga kura , maana wananchi wanaipenda kuhakikishiwa kura zao zipo salama.
Kama Tanzania ni ya wajinga na wapumbavu katiba yao italetwa na waelevu wa Taifa gani?ni mpumbavu na shoga pekee ndio anayeweza kupinga tume huru ya uchaguz tanzania ni nchi ya wajinga na wapuuz sana ndio maana nilimsikia wakili mmoja kule kenya wakat anahojiwa na kituo kimoja cha TV anasema tofaut ya watanzania na wakenya ni kwamba wakenya wamesoma sana na kwamba kusoma huko ndio tatizo kwao lakin watanzanja wakitrend kwa bongo flavour kwao inatosha so huo ujinga wa watanzania utaondolewa na katiba mpya maana wajinga na wapumbavu tanzania ni wengi ndio maana wanaona kwenda mahakaman kulalamikia uchaguz ni tatizo kumbe tatizo ni ujinga wao uliosababishwa na mazezeta ya ccm aka malamba asali kupitia matozo.
Kuna msemo unasema wapumbavu wakiwa wengi katika nchi wanaweza kuchagua RaisNiliwahi kuandika hapa kuwa wapumbavu nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Haya siyo mawazo ya wananchi wengi bali ya mtu-chawa, anayekerwa sana na uwazi na umadhubuti wa uchaguzi wa Kenya. Hoja yake ya msingi ni kuhalalisha maigizo ya uchaguzi yanayofanyika hapa kwetu. Tutegemee sarakasi zaidi za aina hii tena kwa matendo ya wenye mamlaka mbele ya safari katika kuuhami mfumo unawaowapendelea.Nchi hii ngumu sana! Kama hitaji ni kujua kusoma na kuandika, si ajabu mawazo yatakuwa haya tu!! Aina hii ya raia ndio tatizo kubwa nchini!
Kwani hapa Tanzania hakuna kesi za uchaguzi zimewahi kufanyika kwa nafasi zisizo za uRais?? Hujui kuwa Tume ya Uchaguzi hairuhusu kesi dhidi ya nafasi za uRais? Kwma tunaamini mahakamani ndipo haki hutolewa - kesi za uchaguzi zina nafasi ya kufunguliwa. Kama hatuamini hilo tutazuia ili maamuzi ya Tume yawe ndio ya mahakama. Jecha na uchaguzi wa Zanzibar 2015 comes to mind!!
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
UVCCM mtafika Mbinguni kwa kuvunja dari mkiwa mmechoka Sana.....Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi.. yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???Naunga mkono hoja.
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja, tena kwa mujibu wa sheria iliyounda NEC ni tume huru ya uchaguzi ila tuu sio shirikishi. Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
P
Kama lengo la mapambio ni kusaka teuzi, then you are right napiga pambio sana lakini nasahaulika, lakini kama leongo la pambio ni hili Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! its not fair kunihusisha na wasaka teuzi!.Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi..
Nimesema Tume yetu ni huru kwa sheria iliyounda Tume ila sio shirikishi, na msingi wa uhuru wake ni ule ule wa Bunge na Mahakama!.yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???