Alafu unapost ukiwa umeweka miguu kwenye sofa nyumbani kwa shemeji, unasubili Dada wa kazi akuletee ugali.Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Naunga mkono hoja.Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine
Naunga mkono hojaKwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa!
Naunga mkono hoja, tena kwa mujibu wa sheria iliyounda NEC ni tume huru ya uchaguzi ila tuu sio shirikishi. Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni RaisTume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..
His excellency Pascal Mayalla is typing... 🙂
Asante sana comredNaunga mkono hoja.
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja, tena kwa mujibu wa sheria iliyounda NEC ni tume huru ya uchaguzi ila tuu sio shirikishi. Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
P
Hahaha......Nawewe unaposti ukiwa wapi? Au unapiga deki nyumbani Kwa mbowe mat....ko wewe
Ukienda ktk Banda la nguruwe ukakuta nguruwe ANAKULA MATAPISHI utashangaa?Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Niliwahi kuandika hapa kuwa wapumbavu nchi hii wanaongezeka kwa kasi sanaAlafu unapost ukiwa umeweka miguu kwenye sofa nyumbani kwa shemeji, unasubili Dada wa kazi akuletee ugali.
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Hiyo tume ya uchaguzi ni sindicate ya wakubwa na mawakili kupiga hela za serikali na power mongers kama akina Raila huko Supreme Court ☺☺☺
NB: IEBC peke yake inatarajiwa kutumia more than KSH 400 million
Hakuna faida