Namsikia mangi mmoja akisema.. ' itachukua miaka elfu moja tanzani kufikia demokrasia ya kenya'. Na muuliza lakini kenya wanauana kila uchaguzi. Uchaguzi nne odinga anashinda anadhulumiwa. Hilo nalo ni demokrasia bora?' Jamaa anatoa macho anasema. 'Mbona hapa freeman anashinda kila uchaguzi anaibiwa?' [emoji23]
Huko siyo kupinga matokeo bali ni kutanua wigo wa ulaji. Huamini? Rudi hapa baada ya Septemba 4, utanielewa vizuri.Jinsi ulivyoandika Ni Kama unashida kubwa. Nchi ni
Punguza negativity. Suala la kupinga matokeo lipo kikatiba. Ndio njia pekee wakenya wamechagua kupunguza machafuko. Sio nyie huku kipindi Cha uchguzi mnafungiwa internet mwezi mzima Kam na a mbuzi.
Kati ya hao unaowasema na sisi nani ana maendeleo. Ukimaliza kukojoa jitahidi kufunga zipu...Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Ni huzuni sana [emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja.
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja, tena kwa mujibu wa sheria iliyounda NEC ni tume huru ya uchaguzi ila tuu sio shirikishi. Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
P
Mpaka Leo unasubiri nini kuhamia kwa wenye akili wenzio Kenya mradi uage tu wakati unaondokaHABARI ZA KENYA ACHANA NAZO KUHUSU MAHAKAMA, UCHAGUZI,ELIMU LEVEL YA KUJITAMBUA WAMETUACHA MBALI SANA, USIFANANISHE NA HILI NCHI LA KINAFIKI HATA KESI YA KINA MZEE MDEE COVID 19 WATU WANATETEMEKA KUTOA MAAMUZI HADI WAKAPATE MALEKEZO TOKA JUU,NARUDIA TENA USIFANANISHE UCHAGUZI, MAHAKAMA KENYA, LEVEL YA YA ELIMU,KUTOKUWA KWAO WANAFIKI NA TAKATAKA ZA HUKU
Hao hao unaowaita wajinga ndio wajenzi wa nchi unayosema inatawaliwa na wajinga ,wajinga wanajenga wanajenga nchi tunasonga mbele mnapiga makelele mitandaoni mwehu kweli weweNdiyo sababu bado mjinga kati ya wajinga wengi wa nchi hii na bahati mbaya tunatawaliwa na wajinga ambao wanachaguliwa na wajinga ambao ndiyo wengi!
muambie mahera aweke zile forms mtandaoni tupige mahesabu miaka 2 hataki kwa nini? umesikia chebukati leo alichsema?Mpaka Leo unasubiri nini kuhamia kwa wenye akili wenzio Kenya mradi uage tu wakati unaondoka
acha kufananisha uchaguzi wa mwaka huu wa kenya na nchi za kijinga ziko nchi nyingi kama north korea na takataka nyingine za kujifananisha nazo kwenye mbanga hizoHao hao unaowaita wajinga ndio wajenzi wa nchi unayosema inatawaliwa na wajinga ,wajinga wanajenga wanajenga nchi tunasonga mbele mnapiga makelele mitandaoni mwehu kweli wewe
Ungekuwa mzima kichwani ungejua kuwa nchi inaliwa lakini kwa umburula wako unakenua meno!Hao hao unaowaita wajinga ndio wajenzi wa nchi unayosema inatawaliwa na wajinga ,wajinga wanajenga wanajenga nchi tunasonga mbele mnapiga makelele mitandaoni mwehu kweli wewe
Halafu kumbe tunabishana na shoga!Mimi nakojoaa mikojo ya wakubwa na ninawakojolea watu sikojoi chooni wewe ndio una mikojo ya watoto kakojoe choooni
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Alafu unapost ukiwa umeweka miguu kwenye sofa nyumbani kwa shemeji, unasubili Dada wa kazi akuletee ugali.
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Matanzania mengi ni mapumbavu ! Ona kama hili lileta mada! Jinga kweli kweli!Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee
Mwanasiasa anayekubali kushindwa ni dhaifu sana ,hii ikiruhusiwa Tanzania kesi ya kupinga matokeo haiwezi kuisha .Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana limtu lililoshindwa linaenda mahakamani eti nimeibiwa..Kwa hiyo kama nchi inawapinzani kumi na Kila mtu akaenda kupinga matokeo kutakuwa na maendeleo hapo? Tume huru ni chanzo Cha vurugu na ujinga ..hii ya kwetu niyaviwango vya juu ..ukishinda umeshinda hakuna ng'weee' ng'weee' ng'weeee