Mkuu una uhakika gani na haya unayoyasema na unaweza kukidhihirisha hiki ukisemacho ili na wengine wapate kusadiki au ndo ule ule mwendelezo wa vitisho tu!!!!Ni amnisia Tu.
Mtazamo kama wako ni nishati iliyo LuLu sana katika ulimwengu huu
Na ni faraja sana kwa walio mfano kama wako.
'Usivunjike Moyo Tupo Wengi'
Na bado na Ndugu zetu wengine wengi wanapambania hilo
Endelea kuwaimara na kuwaimarisha.
Kwasababu ni zawadi iliyo ya pekee sana_Ubarikiwe.
Kwa hiyo huna critical thinking mkuuNgoja nipete tu kimya kimya
Mkuu ivi Mungu anaitaji asihojike ndo awe Mungu yani watu msijiulize ndo anakuwa Mungu kwa iyo Mungu akihojika uyo si Mungu aseeeh very interested storyUkuu wa Mungu hauhojiki.Mungu hakosei.Ata ukizaliwa ni kilema bado huo ndio ulikuwa mpango wake katika uumbaji.
Tunaposema binadamu si kamili hatuzungumziii maumbile au itilafu katika uumbaji.Tunamaanisha udhaifu wa binadamu katika matendo yake.Kwamba binadamu ata uwe mcha Mungu kiasi gani kuna siku utamkwaza Mungu.Tunaposoma biblia agano la kale tu tunaona ata Musa pamoja na kuaaminika na Mungu ila mwisho wa siku alikuja kumkosea Mungu na ndio maana hakuruhusiwa nchi ya ahadi.
Mmeshaanza mambo yenu ya kutaka uthibitisho kwa manjia yenu ya mafalsafa ya wale wa kale waliokuwa wanataka hadi wapeane mkono na Mungu ndio waamini yupo.Mkuu una uhakika gani na haya unayoyasema na unaweza kukidhihirisha hiki ukisemacho ili na wengine wapate kusadiki au ndo ule ule mwendelezo wa vitisho tu!!!!
Nakuelewa sana humble african ila kuna kitu kimoja unakosea sana Mungu in spritual way sawa, bt viumbe wake anaotaka wamuabudu katuweka ini phsical way je huoni ukakasi apo mkuu kisha binaadamu ndo mfano wa Mungu yani alimuumba kwa kujifananisha na yeye??? dadafua apa bwana Humble!!!Mmeshaanza mambo yenu ya kutaka uthibitisho kwa manjia yenu ya mafalsafa ya wale wa kale waliokuwa wanataka hadi wapeane mkono na Mungu ndio waamini yupo.
Na kwa vile umebase more physically ndio maana unauliza maswali yako ya physical yanayotaka uthibitisho wa kimwili but God works in spiritual realm..Mungu ni nishati. Ili uweze kumthibitisha sharti uwe mtu wa rohoni sana. Ulishawai kufanya deep meditation and yoga before?
Apparently, sidhani kama unaweza kupewa uthibitisho wa rohoni kirahisi na mtu humu JF..juhudi zako zinahitajika sana kufikia level ya spiritual awakening..uyaone mengi yatayokuthibitshia uwepo na uweza wa Mungu. Unless shikilia msimamo wako tu ulionao sasa.
Uhakika wa haya ni mpaka uzaliwe mara ya pili_we unaweza?Mkuu una uhakika gani na haya unayoyasema na unaweza kukidhihirisha hiki ukisemacho ili na wengine wapate kusadiki au ndo ule ule mwendelezo wa vitisho tu!!!!
Mkuu ankai kama kuna viumbe ambao hata malaika walikuwa wanatuonea donge ni sisi binadamu maana sisi ndio viumbe pekee tuliobarikiwa kuishi mwilini na rohoni kwa wakati mmoja. Ila hakuna malaika aliwahi kuonja mwili huu wa damu na nyama. Kwa hiyo kuhisi in physical form ni Baraka kwetu sisi binadamu.Nakuelewa sana humble african ila kuna kitu kimoja unakosea sana Mungu in spritual way sawa, bt viumbe wake anaotaka wamuabudu katuweka ini phsical way je huoni ukakasi apo mkuu kisha binaadamu ndo mfano wa Mungu yani alimuumba kwa kujifananisha na yeye??? dadafua apa bwana Humble!!!
Mkuu nazan humble african anaweza kutusaidia jibu la apaUhakika wa haya ni mpaka uzaliwe mara ya pili_we unaweza?
Kwa iyo sisi tuna nguvu na akili kuliko hawa kina malaika na kina shetani mkuu??Mkuu ankai kama kuna viumbe ambao hata malaika walikuwa wanatuonea donge ni sisi binadamu maana sisi ndio viumbe pekee tuliobarikiwa kuishi mwilini na rohoni kwa wakati mmoja. Ila hakuna malaika aliwahi kuonja mwili huu wa damu na nyama. Kwa hiyo kuhisi in physical form ni Baraka kwetu sisi binadamu.
Pia anaposema ametuumba kwa mfano wake ni kwa sababu yeye ni nishati na sisi ni nishati. Hivyo sisi tumebarikiwa maana tuna source of our energy ambae ni yeye master of the people. Hakuna maana nyingine zaidi ya hapo.
Let's give him thanks and praises mkuu.
Swali lako kwangu lina majibu katika maelezo mengi tu aliyoitoa Humble.Mkuu nazan humble african anaweza kutusaidia jibu la apa
Its not about power....Hao malaika hawajahi kuishi mwilini. Huu ndio uspecial wetu sisi binadamu, wao hawajawahi kuonja food wala emotions ya body excitement.Kwa iyo sisi tuna nguvu na akili kuliko hawa kina malaika na kina shetani mkuu??
Best designer wakati viumbe vyake ni vidhaifu kupitiliza? Baada ya kuumba alisema"tazama kila kilichoumbwa ni chema", all of a sudden hicho kitu chema kimekuwa dhaifu kuliko maelezo.Hakuna binadamu aliekamilika hiyo kauli ni sawa na hii ya "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" zote hizi ni kauli za wahenga tu.Hivyo zipuuze tu!
Mungu katuumba kwa ukamilifu mkubwa saana maana kama matako angeyaweka kifuani tungesema kakosea sababu hatuwezi kukaa comfortably but akayaweka pale nyuma yakiwa na nyama nyama mfano wa spongy sehemu sahihi kabisa ili tukae comfortably na tukiona anayo mbebe tunamsifu kwa kuyaita "Neema za Allah " tuyaite msambwanda kwa lugha za majanki.
God is the best designer ever.
Uyu Humble nimemwambia namuelewa kwa maneno uake mengi anayoyasema yani maandishi meeengi lkn fact zinakosekana ndo mana nikamuuliza kama anaweza kuthibitisha aakshindwa akaishia kuniambia kuwa inabidi niingie kwenye imagnation ndo ntamuona mungu sasa wewe ulivyo changia ndo nkakuuliza mkuu unaweza kuyadhihirisha yale uliyo yasema???Swali lako kwangu lina majibu katika maelezo mengi tu aliyoitoa Humble.
Nawe pia ukakiri unamuelewa sana Humble_na tena ukaendelea kuniuliza na mimi.! Uhakika wa haya niyasemayo.! kama labda yalikuwa Hoja.....Nikashangaa!
Humble african vip apa mkuuBest designer wakati viumbe vyake ni vidhaifu kupitiliza? Baada ya kuumba alisema"tazama kila kilichoumbwa ni chema", all of a sudden hicho kitu chema kimekuwa dhaifu kuliko maelezo.
Suala la Mungu ni la kiimani.Ama uchague kuamini uwepo wake ama uchague kuamini vitu unavyopenda wewe.Mkuu ivi Mungu anaitaji asihojike ndo awe Mungu yani watu msijiulize ndo anakuwa Mungu kwa iyo Mungu akihojika uyo si Mungu aseeeh very interested story
Kwamba Mungu anaitaji asihojike asifikiriwe asiulizwe ndo anakuwa Mungu and vice versa is true
Mimi sibishanagi huyu ni wazi anataka tubishane kwa Yale malogic na ma rhetoric ya akina Aristotle na Socratic wa kale.Humble african vip apa mkuu
Ni kweli hatujakamilika, na siyo makosa kwamba hatujakamilika, bali kwa makusudi kabisa Mungu ametuumba hivyo. Na hill limethibitishwa katika Zaburi 8 hususan 8:4-5.Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Hivi kwa nini aliamua tundu mbili za pua zetu zielekee chini wakati tumesimama huku akijua kabisa chini kuna vumbi na kwa 'bouyancy rule' hewa inayopanda inaweza kuingiza vumbi hilo kwenye pua? (Hapa si kosoi uumbaji hata kidogo, na mimi nakubaliana na Humble African kuwa Mungu ni fundi sanifu mzuri kuliko kila kitu kuwahi kuwepo). Hili ni swali la udadisi tu...! Hivyo intel walioitwa hapa nisadie nielewe hili katika 'engineering design perspective' ama namna nyingine inayofaa bila kuhoji Uwezo wa Mungu.God is the best designer ever.
Mkuu si kubishana tunatakiwa kueleweshana sasa apo pana mdau kauliza huoni kuwa ni vyema kama ukilijibu swali lake Humble africanMimi sibishanagi huyu ni wazi anataka tubishane kwa Yale malogic na ma rhetoric ya akina Aristotle na Socratic wa kale.
Let's rest this case mkuu.