Kama Tundu Lissu hakufa kwa risasi zote zile basi jambo zito sana Mungu atafanya katika siasa za Taifa hili

Nakubaliana na wewe. Tukio la Lissu limekaa kiroho zaidi.
Ukisema utumie sayansi kulielewa utafeli
 
Ameen ameen
 
Asante kwa bandiko lenye baraka.
 
Kwani ni wewe ulie andika au umeandikiwa au ID yako imedukuliwa ???

Kwa yeyote Alie shiriki iwe ushabiki, ushiriki wa vitendo, ushiriki wa kufurahia

TumainiEl na wewe utalipwa kwa vitisho vyako hatujakusahau

Mkumbushe na Siro mwambie hatujasahau kunasiku atakuwa shahidi namba moja juu ya tukio lile
 
Tuliwambia toka zamani lakini mkashupaza shingo.

Nadhani mliona kilichofata.
Hata hivyo nakupongeza kwa kukubali Ukuu wa Mungu. Siku za hapo nyuma mlichukua nafasi ya Mungu mkajifanya miungu.
Magufuli alitesa sana watu
 
Kweli TL ni mwanadamu kama ss
Lakini tukikumbuka njama alizofamyiwa kule kibaha na ukerewe na kazi ikaendelea;inaonyesha ana kitu cha ziada.Si mtu wa kubeza
 
Dereva mmemficha wapi!??
Dereva aliyejua kuwa Lissu anafuatiliwa kwa miezi 3.
Dereva aliye gungua kuwa anafuatiliwa siku ya tukio!?
Dereva risasi zikipigwa
 
Umeandika kama kichaa pale mirembe, vipi umetoroka huko Nini! Yaani swala zito unaliona na kuchangia Ubwabwa. Ninyi ndio walen wale mashabiki!!
 
Kwanini Mwenyezi Mungu alimuacha Lissu aishi? Mungu mwenyewe ndio anajua kwanini, sisi wanadamu tuache ramli na kuingilia mambo ya kiroho ya Mwenyezi Mungu....

Nani alimpiga Lissu risasi? Mungu muumba anajua ni nani, wanadamu duniani wamepewa mamlaka yakujiwekea taratibu ili waweze kuishi na tararibu hizo ni pamoka na uwepo wa serikali/dola ya vingwengo na nyinginezo gizani, lakini mwisho wa siku utaratibu na KiMungu na kiroho unataka haki itendeke na kuwepo ili Vibwengo wawe salama....

Kwa mustakabali wa kidunia tukio la Lissu lina sura nyingi sana ambazo hazina majibu japo Kiroho Mwenyezi Mungu anajua yote na kama ni sahihi au sio sahihi....
Inawezekana Lissu kaonewa na inawezekana pia Lissu hajaonewa na hata uchunguzi ukifanyika basi majibu yatakuja kulingana na uhalali au ubatili wa tukio kidunia..... Dunia ina mengi sana ambayo mpaka leo hii yapo gizani kuanzia Hollocust to Kashogi to Lissu.....
 
Sahihi.

... 'Sura nyingi'...

... 'haki itendeke...

... 'uhalali au ubatili wa tukio kidunia'...

... 'Mungu ni mwenye kujua ilivyobora kuliko visomo vyetu 1.0'...

Ombi liwe, tuombe kheri ili tufae kujua ilivyobora.

'mambo ya ramli' yakome.

Wala hakuna haja ya matukio ya ajabu ajabu na yenye kuleta usumbufu usio wa lazima.

Hmmm
 
Shetani, huwa hajifichi!
 
Kubwa la maadui lipo motoni linaokwa kama ndafu chezea karma wewe!!¡

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa serikali ya ccm hata wskichunguza majibu yatakayoletwa yataushangaza ulimwemgu.

Yatakuwa kama ya Waliomtela Mo🤣🤣
 
ila Chacha Wangwe alikufa kwa ajali na dereva malya akapona, RIP Chacha.
 
Mnafiki plus plus. We si ndiyo ulimtabiria mabaya Lisu pamoja na Ben wa Saanane
 
Baada ya Lissu kusema anawatetea wale wenye kusafirisha makinikia, ikafuata Ile hotuba live ya kuwalaumu Watanzania wasio na uzalendo, mmoja akasema akiondoka mtu mmoja Ili Nchi iwe salama Si vibaya!!!

Taarifa ilofuata muda mfupi Loh, ilikuwa ya huzuni.

Sura ya uhalali wa tukio Kwa walioshika mpini,na uharamu kwa walioshika makali, Ina maswali mengi, bt ninachojifunza TUVUMILIANE, Hasa tunapokuwa tumeshika mpini while wengine wakishika makali.

Pia sababu Lisu amepewa nafasi kuwepo Hadi Leo, atatuelewesha njia Bora ya kudeal na walioitwa mabeberu wakati huo tukifaidi WIN WIN Kwa both parties, Nchi na mabeberu.

Ameeeen.
 
Kwamba Mzee wa msoga ni Nabii,

Tusubiri.

Nimependa ulipoandika, MAREHEMU amefufuka😃😃😃🙏🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…