SadNi tragedy, hata wakipata watoto wanakua careless, na hawa watoto wanaozaliwa nao ndo inakua hatari sana, mana wanafanyana wakijua wote ni watoto kumbe ndo wanafanya transaction.
Masidhani HIV haipo, ipo na inaua, isipokua HIV inadanganya kwa sababu inachukua muda mrefu, sifa ulizo sema hiyo ilikua HIV ya miaka ya 1995 huko, na kwa nini ni kama haionekani, ni kwamba watu waliopotea waliambukizwa miaka ya 1985 wakaja kuondoka 1995 -2000, wakaisha wakabaki wengine walioambukizwa ambao nao walichukua miaka kama 15 tena ndo wakaanza kupukutika, ni uogonjwa unao danganya maana toka miaka uliyosema inaelekea kwenye kupukutika tena, inachukua miaka 15 mapaka 20 mtu kuanza kuugua maambukizi na kuisha mwili na kufa, okay swala la madawa limechangamka na vyakula pia, siyo kama zamani na ndo mana vijana hawaiogopi wanaona watu wameng'aa na hawafi ila siku si nyingi wataondoka waliotoka nao miaka ya 2005-2010 Kisha itaachia tena watu watakao pukutika miaka ya 2030-2035Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom.
Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma,
1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu.
2. Mabega yanapanda juu na kukonda kusoko kwa kawaida
3. Midogo inababuka na kua na kama unga unga mweupe,
4. Kukohoa pamoja na mkanda wa jeshi mkali sana.
Kipindi kile ilikua haihitaji kuambiwa kujua mtu fulani ana UKIMWI,
Pamoja na lishe na ARV, bado nadhani hivi virusi vimepungua nguvu, vijana wanajiachia sana na hawana woga
Wale wadudu wa pale wacha kabisa madereva wa magari makubwa mwanzoni walichaka mtu mwezi1 tuh kawa wakuvishwa pampasKwamba unatofauti na wa TZ?
ukipima utakufa siku si zakoHatari sana...na kupima hawataki
Kupima ni muhimu sana....inakufanya uwe mwangalifu mnoukipima utakufa siku si zako
mawazo yanaua mapema kuliko ukimwi. UsipimeKupima ni muhimu sana....inakufanya uwe mwangalifu mno
hebu twambie; unafikiri kama ungekutwa nao ingekuwaje??Nilikuwa mgum kupima ukimwi kwanza nimshuru mungu sana juma ilio pita nilipata ajari mbaya sana ya pipik nikavuja dam nyingi sana nikapeleke polis badae hospital katika arakati za kuokowa maisha yangu niliwapaka baazi ya manesi dam wakati naendelea kushonwaa nilisikia sauti ya nesi akisema ametupAka dam jibu likatoka mpime afya kubwa aka ukimwi asee nilikuwa mpole nimshuru majibu yalikuja akisemA afya yuko salama paka sasa naendelea kuguza madonda ila moyon na amani
Nazani ningekufa maana nimepimwa mbele za watu walio nipeleka na marafiki kwakweli sina cha kumlipa mungu nikumbuka na njia nilizo pitahebu twambie; unafikiri kama ungekutwa nao ingekuwaje??