Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

Nadhani unyanyapaa na stress ndizo zilikuwa kichocheo kikubwa sana pia ukiachana na makali ya ugonjwa wenyewe.
 
Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom.

Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma,
1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu.
2. Mabega yanapanda juu na kukonda kusiko kwa kawaida
3. Midomo inababuka na kua na kama unga unga mweupe,
4. Kukohoa pamoja na mkanda wa jeshi mkali sana.

Kipindi kile ilikua haihitaji kuambiwa kujua mtu fulani ana UKIMWI,
Pamoja na lishe na ARV, bado nadhani hivi virusi vimepungua nguvu, vijana wanajiachia sana na hawana woga
BIla picha mmh
 
Watu wana ngoma toka 1974 na bdo wanadundA
 
Back
Top Bottom