Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

Samahan kdg kun fununu nilikisia ety mtu ambae ni HIV positive akitumia pain kille kweny vipimo vyetu hv vya buku tano itaonesh yupo negative
 
Samahan kdg kun fununu nilikisia ety mtu ambae ni HIV positive akitumia pain kille kweny vipimo vyetu hv vya buku tano itaonesh yupo negative
yote yanawezekana, binafsi sijawahi kusikia hilo, all in all kuna magonjwa mwengi sana ukiachana na UKIMWI, ni bora kutulia njia kuu au kutumia premium condom, usiuze mechi
 
Ile ilikua ni AIDS yani unakua msomali,madonda mwili mzima,unakonda mpka unafariki....ukimwi unakaa nao hata miaka 25 unakufa shavu dodo
Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom.

Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma,
1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu.
2. Mabega yanapanda juu na kukonda kusiko kwa kawaida
3. Midomo inababuka na kua na kama unga unga mweupe,
4. Kukohoa pamoja na mkanda wa jeshi mkali sana.

Kipindi kile ilikua haihitaji kuambiwa kujua mtu fulani ana UKIMWI,
Pamoja na lishe na ARV, bado nadhani hivi virusi vimepungua nguvu, vijana wanajiachia sana na hawana woga
 
Ile ilikua ni AIDS yani unakua msomali,madonda mwili mzima,unakonda mpka unafariki....ukimwi unakaa nao hata miaka 25 unakufa shavu dodo
Waswahili walikua wanaita edisi,
Katika siku za mwanzoni wakati bado haujagundulika, watu walidhani unasababishwa na nguo fulani kutoka uganda,
Kama sikosei walikua wakiita juliana.
 
Nimekumbuka shangazi yangu aliugua huo ukimwi aisee ilikua ni balaa
 
Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom.

Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma,
1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu.
2. Mabega yanapanda juu na kukonda kusiko kwa kawaida
3. Midomo inababuka na kua na kama unga unga mweupe,
4. Kukohoa pamoja na mkanda wa jeshi mkali sana.

Kipindi kile ilikua haihitaji kuambiwa kujua mtu fulani ana UKIMWI,
Pamoja na lishe na ARV, bado nadhani hivi virusi vimepungua nguvu, vijana wanajiachia sana na hawana woga
Ukimwi ni ule ule sema sahizi ma utundu mengi
 
UKIMWI UNAPONA
KANSA TU NDIO HAIPONI KWA SABABU SIJAWAHI ONA MTU WA KANSA KAPONA
ILA UKIMWI UNAPONA NIMEONA WATU WAMEPONA ILA SIO KWA MAOMBI KWA DAWA ZA MITI SHAMBA
SERIKALI INAJUA WANAPONA ILA KUNA PEDA NA AJIRA WATU WANAPATA KUPITIA UKIMWI
HUU NDIO UKWELI
 
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Watu wanaandika vitu wasivyokua na uhakika navyo. Kuna taarifa za ukweli na za uongo hapa mtu anayehitaji taarifa hapa ajitahidi kuzichuja sana.
Hamna ukimwi wa zamani na waleo ni sawa na kusema kuna malaria ya zamani na malaria ya leo. Kilichobadilika ni dawa za kufubaza ukimwi kua za sahivi ni nzuri zaidi na zina stahimilika. Ukipata ukimwi na usitumie dawa utaugua kama walivyougua hao waathirika wa zamani.

Ni jamii ya watu wachache sana wajulikanao kama elite controllers ndio wanaweza kuishi na vvu kwa muda mrefu bila kutumia dawa. Wapo toka ukimwi umegundulika na sio kwamba ni siku hizi tu inatokea kwa kua virusi vimekosa nguvu.

Tena kama sio jitihada za ndugu zetu mabeberu kuendelea kufanya tafiti na kuja na dawa mpya kila mara ingekuwa hivi virus vya sasa ni hatari zaidi kwa kua vingekuwa resistance kwa zile dawa za mwanzo.
 
Miaka hii kuna matumizi sahihi ya ARV na watu wamekubali hali halisi, iyo miaka ya nyuma watu waliangamia sana kwa kujificha na kulikua hakuna matumizi sahihi ya ARV.
 
Back
Top Bottom