Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

Huwa wanasema hata maji ya uke yanaweza kuambukiza HIV but huwa siamini.
Ninacho amini ni kuwa wengi wanaopata ukimwi ni wanakamia mechi na wengine wana umme mkubwa hivyo huchubua kuta za uke na kuishia kupata HIV.
 
Endelea kupiga peku
 
Kama ukimwi huo @ AIDS wa mwaka 2005 kurudi nyuma ungekuwepo, Basi mpaka sasa kungalikuwa hakuna hata mgonjwa Wala anayetumia ARV's
 
Maishani HIV haipo, ipo na inaua, isipokua HIV inadanganya kwa sababu inachukua muda mrefu, sifa ulizo sema hiyo ilikua HIV ya miaka ya 1995 huko, na kwa nini ni kama haionekani, ni kwamba watu waliopotea waliambukizwa miaka ya 1985 wakaja kuondoka 1995 -2000, wakaisha wakabaki wengine walioambukizwa ambao nao walichukua miaka kama 15 tena ndo wakaanza kupukutika, ni uogonjwa unao danganya maana toka miaka uliyosema inaelekea kwenye kupukutika tena, inachukua miaka 15 mapaka 20 mtu kuanza kuugua maambukizi na kuisha mwili na kufa, okay swala la madawa limechangamka na vyakula pia, siyo kama zamani na ndo mana vijana hawaiogopi wanaona watu wameng'aa na hawafi ila siku si nyingi wataondoka waliotoka nao miaka ya 2005-2010 Kisha itaachia tena watu watakao pukutika miaka ya 2030-2035

Ni hatari... Sema pia ugonjwa mkubwa na hatari kwa sasa ambao watu wanaugua na hawajijui ni Cancer, ni ugonjwa unajificha unakuja kumuibukia mtu uko stage three ambayo haiponeki tena, hatuna tabia ya kufanya check up Afya zetu Kwa hiyo mtu anakua na Cancer stage one, inakwenda two hastuki, anaanza kuugua wakipima iko stage ya mwisho, Dunia ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana Mungu atusaidie[emoji17]
 
Duh! Aisee

Huo ugonjwa balaa lake sio la kitoto.Nenda kamuone mtu aliyefikia stage ya Full blown ya huo ugonjwa ndio utajua.

Vijana tuwacheni kuendekeza ngono zembe ukimwi upo Sana!
 
Nimepima three times lakini kupima hakuzoeleki jamani! kitetemeshi sijui huwa kinatokea wapi!
 
Back
Top Bottom