Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

Huwa wanasema hata maji ya uke yanaweza kuambukiza HIV but huwa siamini.
Ninacho amini ni kuwa wengi wanaopata ukimwi ni wanakamia mechi na wengine wana umme mkubwa hivyo huchubua kuta za uke na kuishia kupata HIV.
 
Endelea kupiga peku
 
Kama ukimwi huo @ AIDS wa mwaka 2005 kurudi nyuma ungekuwepo, Basi mpaka sasa kungalikuwa hakuna hata mgonjwa Wala anayetumia ARV's
 
Hatari sana Mungu atusaidie[emoji17]
 
Duh! Aisee
 
Huo ugonjwa balaa lake sio la kitoto.Nenda kamuone mtu aliyefikia stage ya Full blown ya huo ugonjwa ndio utajua.

Vijana tuwacheni kuendekeza ngono zembe ukimwi upo Sana!
 
Nimepima three times lakini kupima hakuzoeleki jamani! kitetemeshi sijui huwa kinatokea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…