Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye


Nakazia Iyo namba tano mkuu
 
Siwezi enda kuishi Nchi ambazo kupata demu ni ishu na ukipata eti anakuganda kama kupe,Sina huo ujinga .

Bongo raha tunabadilisha badilisha kama boxer
 
tatizo wivu tu. . haha nimeingia kwenye ajira nikiwa na miaka 24 hakuna uchawi ni KIBALI cha BWANA.
una kibali cha BWANA kisha muongo hivyo? huyo si BWANA bali bwana....walioingizwa na kufanikishwa na BWANA si tu kwamba siyo waongo kama wewe lakini mambo yao ni yao na BWANA na hawayamwagi hadharani hovyo hovyo. Tofauti kabisa na jisi ulivyo
 
Africa kama nchi gani mkuu
 
Africa kama nchi gani mkuu
Botswana, Namibia, Seychelles, Egypt, Mauritius
Hizo ni baadhi tu
Nimeziandika kumjibu mdau mmoja huko nyuma
Ila afrika kuna nchi kama Botswana hata wa Kenya wamehamia sana especially wafugaji, wameweka kambi za ranch kubwa na kufuga ng'ombe za kisasa

Police wanapita patrol kila saa na kama kuna tatizo ukipiga simu within 10 minutes wapo

Nchi kama Mauritius ndio inaongoza kwa amani yaani hata crime rate ziko chini sana
Kuliko sisi wizi unaanzia juu
 
Kweli kama hapo kigari ukienda kuishi utafaidi mambo mengi kama mademu
 
Poa poa tupo njiani kuja kufurahia uumbaji huko Europe..
 
Hao watanzania mnaoishi abroad ni kipi cha maana mmefanya
At least kenyan na nigerian wanafanya mambo yanayoonekana lakini diaspora wa tanzania ni zero kabisa hawana tofauti na watanzania wanaoishi tanzania
 
Kweli tupu hizo nchi ndio cream ya dunia kwa maisha bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…