Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Happy weekend bro.. 😂 endelea kuteseka.. siwez kujibu kila comment chukua kitakachokusaidia shida ya watanzania ni negativity kwenye kila jambo.. karibu canada tule maisha utakufa huko Tanzania..🤣
🤣🤣
 
Kwanini watu mnachanganya utajiri na quality of life?

Mtu akiishi baadhi ya nchi automatically system inamchagulia quality life, Mfano; Healthy system, education, mazingira, maisha ya kazi/ajira (mwajiri anazitambua haki zako?), Ulinzi, wananchi kuridhika na serikali yao etc.

Kuishi hizo nchi haimaanishi utakuwa tajiri ila hautaishi kama wananchi wa shithole 😅

Kama ni utajiri hata bombambili Songea pia kuna matajiri ila ndio wanaishi kigagagigikoko.
 
Hahaha noma sana, wakati huo unakimbizana na TRA kila kona, polisi waonevu, na hata ukionewa hakuna sehemu utaenda kudai haki ukasikilizwa, panya road mitaani teh teh, ukiugua hata uwe na pesa unaweza kwenda hospitali kumbe doctor anayekutibu amefoji vyeti, mara vifaa vya kuchukulia vipimo vilishaexpire ila bado vinatumika, trafiki waomba rushwa kila baada ya kilomita kadhaa.

Aisee rafiki yangu Jadda tunadeal na watu ambao exposure ni 0.
 
Zitaje mkuu....
 
Tanzania haiendelei kwa sababu imejaa vijana waongo wengi sana wanaopenda kujimwambafai kama wewe
Nimejaribu, kupiga hesabu, wastani miezi sita ya kukaa kila nchi hizo 125, mara umri wake 34, nikatoa miaka 14 ya shule, msingi na Sekondari, nikabaki na miaka 20, ambayo hii ndiyo ameitumia kutembea nchi 125, akikaa watani wa miezi sita kila nchi nikagundu inabidi tumuongezee miezi kama 60, ili iendane umri wake ukitoa miaka 14, ya shule kwenye umri wake 34.

Mimi naamini inawezeka kwa kutembea nchi 125 ila kila nchi ukikaa miezi sita basi itabidi tukuongezee miaka mitano, na ukitoa miaka mitano kwenye miaka ya shule, utabaki na miaka 9 ya shule. Inawezekana ama pia haiwezekani.
 

Safi sana
Nataka vijana watoke na waache ushabiki wa team pendwa. Uzi bora mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…