Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
sea boyz na sinza pale moli
facebook na yahoo ndiyo ilipiga pesa za cafe.
facebook na yahoo ndiyo ilipiga pesa za cafe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1990 ulitumia INTERNET computer wapiMleta mada kasema 1990 to 2000. Sasa wengine wanakuna na 2007.
Hivi phonerotica imefia wapiEnzi hizo tulikuwa tukizima au kureset timewatcher na Task manager mpaka tukawa tunatimuliwa café. Ilikuwa ni mwendo wa miniclip.com facebook na gmail. Ukiwa kwenye simu ni waptrick au phonerotica [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Kipindi cha 2010's bando la 500 unlimited tunatoboa nalo kwenye torrents na porn
Hata sijui maana hayo mambo nilishaacha muda sana baada ya kuanza michezo ya uchakataji.Hivi phonerotica imefia wapi
Usisahau sheria mpya ngumu za makosa ya mitandaoni na sheria ya Posta zilikuja kuuwa internet cafe.2010s ndio Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Nilijifunza kutumia internet Sengerema. Mambo ya ajabu sana
Halafu kulikuwa na dada mmoja mzuri sana, alinifundisha na kunifungulia email!Ha ha haa! Pale Tele-Center?
Mm nimetumia internet 1997 dar es salaam. Nikiwa na us robotics modem 56k/sec.1990 ulitumia INTERNET computer wapi
Even MAREKANI internet ilikuwa PUBLIC kuanzia miaka 1995
TANZANIA internet zilipamba moto baada ya Y2K 2000 ndo cafe nyingi ,Zikamwagika mtaan na mikoani
Chini ya hapo Cafe ilikuwa POSTA na kipande Cha MNAZI MMOJA even kkoo yenyewe ilikuwa hakuna INTERNET CAFE mpk kuanzia MNAZI mmoja
Bila shaka kama bado yupo atagundua alizingua sana.Mwaka 2009/2010 nilikuwa natumia simu kuingia facebook sasa simu nilikuwa natumia ya sista angu nilivyomrudishia simu yake nikamiss kuperuzi. Siku hiyo nikaenda internet cafe basi nikaingia zangu FB kumbe huyo mzee apita pita kuchungulia alivyoona nipo FB aisee alifoka eti mambo gani hayo ya kihuni huni watoto wa siku hizi sijui mpoje aisee nilinyanyuka nikasepa zangu kimya kimya.
Ze utamu 2009 ivi hatariMUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 .
View attachment 2648381
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
View attachment 2654435
tulikuwa tunalipia kwa muda kuanzia nusu saa, Ukilipia wanawasha program ya kuhesabu muda, iliitwa time watcher muda ukiisha inaloki computer, Wajanja walikuja na mbinu za kuruka hiki kiunzi 😂
View attachment 2654432
Speed ilikuwa chini sana, kufungua ukurasa wenye picha unaweza subiri dakika nzima, ukitaka soeed nenda asubuhi sana.
View attachment 2654433
Kuwa na email ilikuwa ndio ujanja wa enzi hizo, Tulichat na kutumiana barua kwa email. katika watu 100 waweza jikuta pekeyako unayo basi unapata ka feeling flani ka v.i.p, email maaarufu ilikuwa hotmail, yahoo na msn.
View attachment 2654431
Enzi hizo tulitumia floppy disk kuhifadhi mafaili, ni kipindi ambacho bado cd na flash hazijawa common.
View attachment 2654434
Enzi hizo websites www.-----.com ilibidi uwe uzitunze kichwani ama uwe na ki diary maalum, Sio kama sasa google imerahisisha sana
View attachment 2654446
Waliokuwa hawana speed ya kutumia keyboard. walijifunza kwa kutumia program inaitwa mavis bacon
View attachment 2654448
///////////////////////////////////////
Hali imebadilika, kwa sasa unaweza kuwa na smartphone au laptop yako unaingia net, Hali haikuwa hivyo kwa miaka ya nyuma kabla ya 2010s, Kipindi hicho ilikuwa ni mwendo wa cafe.
Miaka ya 2007 angalau tulianza kutumia internet kwenye simu za Nokia batani na tovuti maarufu ilikuwa waptrick lakini hizi tobuti bado zilikuwa simple sana, bado tulilazimika kwenda internet cafes kupata mambo kamili,
2010s ndio Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Ze utamu 2009 ivi hatariKulikuwa na Dar talk(something km hivi), kabla ya facebook kulikuwa na Skype.. kulikuwa na BBM MESSENGER ilikuwa kama WhatsApp vile, thanks kwa mchina kuleta hizi simu maana ilikuwa ukidownlpad hata media yenye mb 10 tu inakuandikia 36 years to complete!!😂
Unamaana TikTok ni ya kitambo hivyo?Mwaka 1996 nilipata demu mfilipino mtandao wa TikTok.
Kupata pesa bila kufanya kazi😅😅Bagamoyo kulikuwa na Internet Cafe mitaa ya ADEM, Nilikuwa naenda kuperuzi ngoma kali za mamtoni pamoja na SMS kali za mitongozo kisha nazituma kwa watoto wa kishua mitaa ya mbezi beach.
Bila kusahau kusearch jinsi ya kupata pesa bila kufanya kazi. Ki ukweli internet cafe ilinipa maujanja na nilipiga pesa kwa wale wakuja. Wazungu wa Bagamoyo walinipata vema mzanaki mimi.
Dar hotwire, marafiki, Bongo 5 jambo forum (Jamii forum), waptrick nilikuwa nadownload nyimbo kama zote!!View attachment 2648410
Kama hukutumia MSN Messenger, Yahoo, Skype chatroom za DarHotWire & Bongo5, Waptrick......and the likes, endelea kufurahia ujana wako!!!
Rcl cafe kisutu street walikula sana pesa yangu late 90zMUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES