Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

sea boyz na sinza pale moli

facebook na yahoo ndiyo ilipiga pesa za cafe.
 
Enzi hizo tulikuwa tukizima au kureset timewatcher na Task manager mpaka tukawa tunatimuliwa cafΓ©. Ilikuwa ni mwendo wa miniclip.com facebook na gmail. Ukiwa kwenye simu ni waptrick au phonerotica πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Kipindi cha 2010's bando la 500 unlimited tunatoboa nalo kwenye torrents na porn
 
Mleta mada kasema 1990 to 2000. Sasa wengine wanakuna na 2007.
1990 ulitumia INTERNET computer wapi
Even MAREKANI internet ilikuwa PUBLIC kuanzia miaka 1995
TANZANIA internet zilipamba moto baada ya Y2K 2000 ndo cafe nyingi ,Zikamwagika mtaan na mikoani
Chini ya hapo Cafe ilikuwa POSTA na kipande Cha MNAZI MMOJA even kkoo yenyewe ilikuwa hakuna INTERNET CAFE mpk kuanzia MNAZI mmoja
 
Hivi phonerotica imefia wapi
 
Kuna mtu ali chat kwa ICQ hapa ??

Hiii ni ya wachache - ogopaaaa.
 
2010s ndio Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Usisahau sheria mpya ngumu za makosa ya mitandaoni na sheria ya Posta zilikuja kuuwa internet cafe.
Mfano kuweka CCTV camera ndani ya cafe kila kwenye workstation ya computer.
Kulipia pesa ndefu na kuwajibika kwa baadhi ya makosa kwa mmiliki.
Fikiria mtu amepoteza SIM Card yupo mjini anataka kufanya mawasiliano au kuchukua copy ya documents zake zilizo kwenye Google drive au cloud yoyote.
Au mgeni amekuja tu hajasajili SIM card atahitaji internet cafe.
 
UCC UDSM Mlimani, Ubungo Hostel karibu na RUBADA nilipata girlfriend sababu ya internet surfing.
 
Mm nimetumia internet 1997 dar es salaam. Nikiwa na us robotics modem 56k/sec.
 
Pale maduka mawili kulikuwa na internet Cafe miaka ya 2000 nilikuwa naenda kutuma na kusoma email
 
Bila shaka kama bado yupo atagundua alizingua sana.
 
Mwaka 1996 nilipata demu mfilipino mtandao wa TikTok.
 
Ze utamu 2009 ivi hatari
Ze utamu 2009 ivi hatari
 
Nakumbuka niliingia kwenye Cafe moja pale Sinza nikalipia mda wa lisaa limoja nilipo kaa kwenye dawati monitor niliiona lakini keyboard sikuwa naiona,nikapanic,sikuweza kumuuliza mhudumu au niliokaa nao jirani nikaogopa wasije wakaniona ni mshamba,ilinigharomu robo saa nzima kuiona ilipo kumbe keyboard ilikuwa imetengenezewa draw nyembamba sana ambayo ukiangalia kwa haraka huwezi igundua kama ipo pale chini ya meza.
 
Kupata pesa bila kufanya kaziπŸ˜…πŸ˜…
 
Rcl cafe kisutu street walikula sana pesa yangu late 90z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…