Ndo tutegemee uchaguzi huru na haki kwa msingi huu?Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Kama nilivyosema awali nimefuatilia kwanza ndio nikaipost, hakuna posho ya aina yoyote iliyotolewa siku hiyo ya uchaguzi.Mkuu unajuaje kama hiyo ni rushwa na wala si posho za mkutano?
Labda miaka 150 ijayo baada ya kizazi hiki kufutikaNdo tutegemee uchaguzi huru na haki kwa msingi huu?
wanatoka mapovu mpaka mate yanawakaukaWakiambiwa awamu hii Rushwa imeshamili wanapala kinoma.
Zenyewe hizo kisa njaaAlafu mbona kama wanagawana elfu kumikumi au ishirini ishirini hivi...hela mbuzi kabisa.
Ishu sio kuandamana bali unaandamana kwa ajili ya nini??Baada ya Nyerere Kufariki ccm ilijipambanua Kama Chama Cha ufisadi na rushwa
Unahonga Ili upate cheo tena ndani ya Chama je nje ya Chama?
Suluhisho watu siku tuamue tuingie barabarani but shida ya watanzania wakishashiba Mihogo na ugali wanasahau kwamba rushwa inakwamisha Sana maendeleo yao.
Leo hii nchi ipo kwenye giza la umeme sababu ya Rushwa ya mikataba mibovu Kama Richmond, Dowans, IPTL na juzi symbion kalipwa mabilioni bila kodi.
Hiki Chama kinafundisha watoto jinsi ya kuiba pesa za watanzania bahati mbaya mtu akisema ukweli anpewa majina ya kila namna.
Suluhisho la haya ni kuingia barabarani tu hakuna option nyingine!!! Other wise tuendelee kupigwa.
CCM wanaitumia vizuri sana hii kauli mbiuMaisha ni vita Mura,jikombe ukomborewe!
Mwaka ngumu kule Ndugai, katikati mzee wa kataa wahuni pwmbeni Bashiru hahaha
Nafikiria chama kitachukua hatua stahiki kwa haya yaliyojitokeza, mtoa rushwa na hao mnaowafahamu waliopo pichanina waliopo pichani tunawajua kwa sura na majina yao aibu hizi huku kwetu Mara hazikuwepo
Bila rushwa CCM hupati madarakaHii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Rushwa imegeuka kuwa mfumo wa kawaida wa ndani ya CCMBila rushwa CCM hupati madaraka
Juu ya yote imetokea mkoani Mara nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Tulitarajia wao wawe mfanoAibu Gani Hii
Hii ilitosha Kwa Chama makini kufuta uchaguzi wote.Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Ni kweli chama makini hakiwezi kuruhusu haya. Ukisema ukweli unaonekana umeisaliti nchiHii ilitosha Kwa Chama makini kufuta uchaguzi wote.
Halafu ktk haya yakiendelea Eti Kuna watu wanataka tumtetee mkt kuwa "Anaupiga mwingi'' eti'
huko kaburini Nyerere si amegeuka mara 700?Juu ya yote imetokea mkoani Mara nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Tulitarajia wao wawe mfano