Njaaa mbaya sana😅😅Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Watu wa hovyo sanaVijana wanapikwa vizuri ili waje kula kwa urefu wa kamba zao
Soma maoni yao ujue Tabia zào.Mambo ya CCM yanakuhusu nn?
Hakuna kitu kibaya duniani kama njaa. Njaa inapelekea ufanye vitu vya ajabu sanaNjaaa mbaya sana😅😅
Hata ya Simiyu mlisema ni umbea tu ila Katibu Mkuu wenu jana akaufutilia mbali uchaguzi. Haishangazi kuona CCM mkipingana na ukweli. Ndio kawaida yenuHuu ni uzushi tu, hiyo video haiwezi kuthibitisha hiyo ni rushwa, umbea umbea Tu, ni imetengezwa kwa makusudi si unaona hata wao wenyewe wanaagali kama vile wanajua ?
Umbea ka mwingine tu
Tuongee kwa fact sio maoni binafsi tu Mkuu,,, hebu tupe ushahidi kuwa hiyo ni rushwa ili twende SawaHata ya Simiyu mlisema ni umbea tu ila Katibu Mkuu wenu jana akaufutilia mbali uchaguzi. Haishangazi kuona CCM mkipingana na ukweli. Ndio kawaida yenu
Wala rushwa wakubwa wamejaa ndani ya CCMRushwa imegeuka kuwa mfumo wa kawaida wa ndani ya CCM
If it looks like a duck......hebu nipe Kwanza ushahidi kuwa hiyo ni rushwa,,
walks like a duck...maana hiyo video haina ata sauti labda wanasema hii ni rushwa tumepewa,,,,
and quacks like a duck...hebu toa ushahidi wa rushwa hiyo twende Sawa.
You can rest assured it is a duck!Tuongee kwa fact sio maoni binafsi tu Mkuu,,,
Ndiko chimbuko la mafisadi papaWala rushwa wakubwa wamejaa ndani ya CCM
Kila mwenye macho haambiwi tazama kule, sote tunajionea. Ushahidi wa kimazingira unathibitisha hiloMbona kama umeona wewe iyo ni rushwa hebu nipe Kwanza ushahidi kuwa hiyo ni rushwa,, maana hiyo video haina ata sauti labda wanasema hii ni rushwa tumepewa,,,, hebu toa ushahidi wa rushwa hiyo twende Sawa.
Bila rushwa CCM hupati hata ujumbe wa tawiNdiko chimbuko la mafisadi papa
Yameleana kwa mfumo wa rushwa haya. Kila kitu kwao ni rushwa. Yanatoa wapi ujasiri wa kukemea ufisadi?Bila rushwa CCM hupati hata ujumbe wa tawi
Majizi makubwa kabisaYameleana kwa mfumo wa rushwa haya. Kila kitu kwao ni rushwa. Yanatoa wapi ujasiri wa kukemea ufisadi?
Labda wanagawana posho za kikao utasema rushwa,, kwahiyo saizi watu wanaopeana hela barabarani wanagawana rushwa? Ila naamini hao jamaa wana akili wasingeweza kupeana rushwa hadharani kama pale.Kila mwenye macho haambiwi tazama kule, sote tunajionea. Ushahidi wa kimazingira unathibitisha hilo
Mwaka huu teknolojia inawaumbua.Mwaka ngumu huu
teknolojia imewakalia kooni sana mwaka huu hawana pa kupumuliaMwaka huu teknolojia inawaumbua.
Vichambo vingi kama Samia au Isha mashauzi,, Mwanamama ongea kwa fact tu chap unatoa maelezo au mazingira ya rushwa yalivotokea hapo.If it looks like a duck...
walks like a duck...
and quacks like a duck...
You can rest assured it is a duck!
Vipi Mczigga, umenaswa au vipi! Mbona kiti ulichokalia kinapata moto?
itakuwa na wewe umeonekana kwenye hiyo video unapewa rushwa bila shaka. hao waliopo videoni wanatambulika kirahisi sana na wanajulikanaMbona kama umeona wewe iyo ni rushwa hebu nipe Kwanza ushahidi kuwa hiyo ni rushwa,, maana hiyo video haina ata sauti labda wanasema hii ni rushwa tumepewa,,,, hebu toa ushahidi wa rushwa hiyo twende Sawa.
Sasa kama wanatumbulika na wanajulikana unasemaje itakua,, Ongea kwa kujiamini na utoe maelezo tu tatizo unataka kubishana na sio kujadili.itakuwa na wewe umeonekana kwenye hiyo video unapewa rushwa bila shaka. hao waliopo videoni wanatambulika kirahisi sana na wanajulikana