escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
- Thread starter
-
- #81
Nisome vizuri hapo juu. Nimejiridhisha kwanza kabla ya kupost video hii. Hakuna posho yoyote ile iliyotolewa siku hiyo ya uchaguzi.Labda wanagawana posho za kikao utasema rushwa,, kwahiyo saizi watu wanaopeana hela barabarani wanagawana rushwa? Ila naamini hao jamaa wana akili wasingeweza kupeana rushwa hadharani kama pale.
Kama mnawafahamu saidieni uchunguzi ufanyike nao wachukuliwe hatuaitakuwa na wewe umeonekana kwenye hiyo video unapewa rushwa bila shaka. hao waliopo videoni wanatambulika kirahisi sana na wanajulikana
Wamekosa aibu. Na hawa ni Vijana vipi hao watu wazima?Aiseee, hawa jamaa hawana soni kabisa
Hapo ndio napata ukakasi mimi inawezekana kweli ni rushwa, lakini kwa ushahidi gani ndio ninaoutaka hapa Mkuu,, maneno matupu mm sio rahis kuamini lakini ukinipa ushahidi wa rushwa hiyo nitaamini maana video haina hata maneno.Nisome vizuri hapo juu. Nimejiridhisha kwanza kabla ya kupost video hii. Hakuna posho yoyote ile iliyotolewa siku hiyo ya uchaguzi.
Ndio uone jinsi CCM ilivyokosa aibu hadi watu wanagawana rushwa hadharani bila kuogopa kitu chochote
Rushwa ni adui wa haki, acha kutetea wala rushwa wewe. Na wewe ni miongoni mwa wala rushwa tu ndio maana mnateteanaSasa kama wanatumbulika na wanajulikana unasemaje itakua,, Ongea kwa kujiamini na utoe maelezo tu tatizo unataka kubishana na sio kujadili.
Video haina maneno au kitecno chako ndio hakitoi sauti?Hapo ndio napata ukakasi mimi inawezekana kweli ni rushwa, lakini kwa ushahidi gani ndio ninaoutaka hapa Mkuu,, maneno matupu mm sio rahis kuamini lakini ukinipa ushahidi wa rushwa hiyo nitaamini maana video haina hata maneno.
Ndugu yangu Mczigga tusibishane kwa jambo lililo wazi sio busara. Chama kifanye uchunguzi kijiridhishe tutakutana tena hapaHapo ndio napata ukakasi mimi inawezekana kweli ni rushwa, lakini kwa ushahidi gani ndio ninaoutaka hapa Mkuu,, maneno matupu mm sio rahis kuamini lakini ukinipa ushahidi wa rushwa hiyo nitaamini maana video haina hata maneno.
Wapi nimetetea,, we leta ushahidi wa rushwa hiyo mi naweza kuamini ila sio maneno tupu niamini maana video imepewa maelezo na alierekodi lakini mlengwa hajatoa neno lolote,,Rushwa ni adui wa haki, acha kutetea wala rushwa wewe. Na wewe ni miongoni mwa wala rushwa tu ndio maana mnateteana
Sawa wewe hiyo na iPhone yako umesikia wakisema tunagawana rushwa au umesikia maneno ya aliyerekodi video ambae alikua na mamlaka ya kuongea chochote anachotaka kudhihirisha alichotaka,, mimi mtumiaji wa Tecno nimesikia maneno ya aliyerekodi pekee ndio maana nimehoji uhalali wa rushwa hiyo lakini wewe wa iPhone lakini standard 4 failure thibitisha maana hujui fasihi zipoje wewe.Video haina maneno au kitecno chako ndio hakitoi sauti?
Hapo umeongea la maana chama kifanye uchunguzi tutakutana hapa,, upo sahihi maana nilichokataa mm ni kuipa video uhalali wakati alierekodi ndiye alietoa maelezo yote na ukimsikiliza vizuri jinsi uwasilishaji wake ulivyo una mashaka, na ninaweza kusema ni CCM mwenzao huyo.Ndugu yangu Mczigga tusibishane kwa jambo lililo wazi sio busara. Chama kifanye uchunguzi kijiridhishe tutakutana tena hapa
Asante. Kwa pamoja tunaungana kukiomba Chama Cha Mapinduzi kifanye uchunguzi wa tukio hilo na ikithibitika ni kweli basi wahusika yaani watoaji na waliopewa wote wawajibishwe.Hapo umeongea la maana chama kifanye uchunguzi tutakutana hapa,, upo sahihi maana nilichokataa mm ni kuipa video uhalali wakati alierekodi ndiye alietoa maelezo yote na ukimsikiliza vizuri jinsi uwasilishaji wake ulivyo una mashaka, na ninaweza kusema ni CCM mwenzao huyo.
Kwahiyo chama kama kitatoa maelezo ya kiuchunguzi basi jibu litapatikana kuliko kutumia hisia kuhitimisha jambo fulani inakua sio vizuri.
Asante pia kwa hitimisho zuri.Asante. Kwa pamoja tunaungana kukiomba Chama Cha Mapinduzi kifanye uchunguzi wa tukio hilo na ikithibitika ni kweli basi wahusika yaani watoaji na waliopewa wote wawajibishwe.
Yaani CCM yetu jamani jamani mpaka aibuHawa huko mbeleni wanashindwa vipi sasa kuwa mafisadi?
Mwenzako Mczigga, pamoja na kuiona video anataka ushahidi eti usio na shaka kwamba kinachotolewa hapo ni rushwa. Sijui kama anataka amsikie mtoa/mpokea fedha akitamka kwamba anatoa/anapokea rushwa! Hizo ndizo akili za wana CCM wenzako! Eti labda hao wanalipana tu posho...kwenye uchaguzi?Yaani CCM yetu jamani jamani mpaka aibu
Ndiyo sababu sasa hivi wale wote wanaotaka kumuondoa mama 2025 wanaiba hela sana ili wapate za kuhonga 2025.Mwenzako Mczigga, pamoja na kuiona video anataka ushahidi eti usio na shaka kwamba kinachotolewa hapo ni rushwa. Sijui kama anataka amsikie mtoa/mpokea fedha akitamka kwamba anatoa/anapokea rushwa! Hizo ndizo akili za wana CCM wenzako! Eti labda hao wanalipana tu posho...kwenye uchaguzi?
Kwa kweli nachoka. Unaweza kuta kuwa huyo Mczigga ni kiongozi wa chama au msimamizi wa uchaguzi! Kama rushwa ingekuwa inanuka kama choo, bado angedai alambishwe asikie kama ni choo kweli ndipo aamini! Watu wa aina hii ndio wamesaidia sana katika kutufikisha hapa tulipo kama taifa! Shame, shame, shame!
Nasikia mama naye kawapa rukhsa wale kwa urefu wa kamba zao mradi wasivimbiwe! Sina hakika hadi wavimbiwe watakuwa wamekula kiasi gani au kamba zao ni ndefu kiasi gani. HIyo ndiyo Tanzania. CCM mbele kwa mbeleee!Ndiyo sababu sasa hivi wale wote wanaotaka kumuondoa mama 2025 wanaiba hela sana ili wapate za kuhonga 2025.
Kila mmoja sasa hivi anakula kwa urefu wa kamba yake. Naona vijana wameanza kwa kasi sanaNasikia mama naye kawapa rukhsa wale kwa urefu wa kamba zao mradi wasivimbiwe! Sina hakika hadi wavimbiwe watakuwa wamekula kiasi gani au kamba zao ni ndefu kiasi gani. HIyo ndiyo Tanzania. CCM mbele kwa mbeleee!