Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Inferiority complex inawasumbua baadhi ya wanaume.
Mwanamke kufanya kazi havihusiani na kucheat.

Hao mnaowaacha majumbani mbona wanaliwa sana na wapangaji wenzenu + wauza genge na bodaboda.
Umesema kweli kabisa. Na mbaya zaidi vidume vyote vinavyolialia namna hii ndiyo vinaongoza kwa kuchepuka. Hili mimi huwa nashindwa kuelewa. Mwanaume unakuta anatongoza kila mwanamke anayekutana naye halafu anategemea wa kwake awe salama.
 
Umesema kweli kabisa. Na mbaya zaidi vidume vyote vinavyolialia namna hii ndiyo vinaongoza kwa kuchepuka. Hili mimi huwa nashindwa kuelewa. Mwanaume unakuta anatongoza kila mwanamke anayekutana naye halafu anategemea wa kwake awe salama.
Wanajijua wao wahuni ndio maana wanaona kila mtu ana tabia kama zao
 
Wanaume mnaolia kila siku hapa kisa mapenzi mnatutia aibu sisi wengine

Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake na wao wanajua

Kuoa sio sababu, mwanaume angalau inabidi uwe na wanawake watatu, kila mmoja awe mbdala wa mwenzake na mdogo zaidi yake

Huwezi basi wawe wawili. Unakua na mmoja kama taa ya treni bila fall back utakufa au kuozea jera

Mwanamke aki cheat inauma kwasababu tofauti na mwanaume a cheat tu kwa starehe anapeleka na moyo wake wote

So make sure anajua hayupo peke yake wakati huo unahakikisha bado kuna plausible deniability
 
Wewe una yako sasa, mi mbona sicheat?
Saa 3 hii usiku unafnya nn Jf na n mke wa mtu.


[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndio nyie mnaongoza kicheat. Kalale uch uchezee Guu la punda [emoji41]
 
Inferiority complex inawasumbua baadhi ya wanaume.
Mwanamke kufanya kazi havihusiani na kucheat.

Hao mnaowaacha majumbani mbona wanaliwa sana na wapangaji wenzenu + wauza genge na bodaboda.
Mwanamke akianza kubadilika na wewe mwanaume badilika uanze kumla kisamvu
 
Watu wanashinda nae masaa 9 akirudi usiku amechoka ni kulala.

Binadamu wana upendo wa asili kadri wanavyokaa pamoja ndio maana kawaida na uhakika watu wengi 90% their first lovers were their classmate .

Watu wengi wapenzi wao wa kwanza ni watu waliosoma nao kwa kukaa nao darasani mda mrefu inafanya watu wanapendana hata mtaani kama ni majirani.
 
Hahaaa haaaa kwenye semina huko wanabanjuana mbaya sana,
 
Usipende sana kumuamini mwanamke hata kama ni mkeo, tegemea tu ipo siku atagongwa kama wewe ulivyomtongoza mara ya kwanza na kumgonga. Cha msingi ukigundua anakucheat, usimuulize ila usimpe tena uroda, wewe kazana na kugonga wengine huko nje atakuja kujiuliza tu kuna nini hapa na kuacha mara moja. Ukiwa na roho ngumu kama yangu, akikuuliza unamwambia ukweli kisha unampa talaka. Lazima tu atajiona mdogo na pengine hata kujiua.
 
Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
PUMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…