Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Mie nilivyosoma hii mada mwanzo niliishia tu kucheka kwakweli.

Wewe jishebedue tu hapo na stress zako za kukosa mume kaone!!! Hebu olewa hukobuwe na heshima kwa jamii na uwe na furaha ya milele ebo!!!!
Wenye nyota za kwaito mnajulikana tu
Hivi mbona mtoa mada nikikusoma vizuri kama kuna shida sasa wewe ndio unatoa stress!! Au mimi ndio sijui kusoma katikati ya mistari!!!
 
Sitaki mimi foleni zimenichosha sasa hivi nataka wa peke yangu
Kizuri mgawane na mwenzio huyu wa humu ndani unae mjua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati hii mkuu, wanaume wenyewe tumebakia wachache kuliko wavulana...[emoji13] [emoji13]
 
Ulianza vizuri ila ulivomaliza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…