Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,Iko hivi,. Nimepatwa na uziwi wiki ya pili sasa ,.
Hapa sijaelewa,masikio yameziba,halafu unafeel uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele,yani masikio yameziba ila kelele unazisikia?.Imagine masikio ni mazito, yameziba halafu mda wote unafeel like uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele halafu huwezi kurealize ni kelele za kitu gani,,.
Pole sana,utakaa sawa tu.Nipo najiwazia hapa viziwi hii ndio hali wanaifeel for the rest of their lives 🤔, na je ikitokea na mimi nakua kiziwi ina maana ndio nitateseka hivi maisha yangu yote ??? ,.. Thanks Lord nimewahi treatment leo moja limeanza kusikia i hope yote yatasikia tena,. ( Mniombee wananzengo siko poa niko wodini bado,. Malaria nayo nayaniendesha
Yaani nasikia ile vumuuuuuuuuuuuuuuu,. Siwezi kurealise ni sauti ya nini.Pole sana,
Hapa sijaelewa,masikio yameziba,halafu unafeel uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele,yani masikio yameziba ila kelele unazisikia?
Pole sana,utakaa sawa tu.
Ila mambo mengine ujue tunachukulia poa but kuzaliwa umekamilika kwa kweli ushukuri sana.Wakuu habari za siku nyingi,..
Sikua najua how they feel, sikua najua ni kwa namna gani wanateseka mpaka mda huu ambapo Mungu ameamua anipitishe na mimi kidogo, huenda bila hivyo ningeendelea kuwachukulia kawaida…
Iko hivi,. Nimepatwa na uziwi wiki ya pili sasa ,. I don’t know the mechanism mpaka ilikua hivyo ila nachokumbuka ni kwamba nilipatwa na malaria makali pamoja na kichomi at once,. Nilikua to that point ambayo sikua naelewa chochote zaidi ya jina langu ambalo hata sikua nasikia kama naitwa,..
Namshukuru Mungu naendelea vizuri somehow,. Ila guys viziwi ni wanateseka sana,. Imagine masikio ni mazito, yameziba halafu mda wote unafeel like uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele halafu huwezi kurealize ni kelele za kitu gani,,. Means hatakama unataka kuzungumza kitu unahisi wote wanasikia makelele inabidi uongee kwa sauti ya juu sanaaa,. Halafu wanakushangaa unapayuka , which is not easy 😌🥹… Yaani masikio mda wote yako na ganzi hata mtu akufinye husikii maumivu just imagine..
Nipo najiwazia hapa viziwi hii ndio hali wanaifeel for the rest of their lives 🤔, na je ikitokea na mimi nakua kiziwi ina maana ndio nitateseka hivi maisha yangu yote ??? ,.. Thanks Lord nimewahi treatment leo moja limeanza kusikia i hope yote yatasikia tena,. ( Mniombee wananzengo siko poa niko wodini bado,. Malaria nayo nayaniendesha ).
NB: Mtu kama upendezwi na mada za mtu au humuelewi hapa jukwaani ni better ukamuignore kuliko kureport kwa mods nao bila kufanya utafiti vizuri wanapigana ban,. Sio wote tuko humu just for fun,. Yaani wewe uliyenireport sijui hata nikufanye nini maana kuna watu nilikua nao seminar huko Pm na wametoka kunipa tu hela napigwa ban imagine😔😔.. Yaani naitwa tapeli kwasababu ya chuki zako binafsi,. SIJAPENDA
Mbona kama unatupanga sasa? Kwani unashida ya masikio ya Neva? Kama masikio yanasababisha usihisi maumivu, vipi ngozi kazi yake nini?Yaani masikio mda wote yako na ganzi hata mtu akufinye husikii maumivu just imagine..
Nilikua natumikia ban tatu kipenziBado sijasoma uzi
Nimefurahi tu kukuona Leejay49
Ulifanya kosa gani hadi ukapatwa na ban ya muda mrefu hivyo mdada mstaarabu