Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,. Tunapaswa kushukuru kwa kila jamboUnaweza ukakuta kiziwi na kipofu au kilema yoyote yule ana furaha na peace of mind kuliko mwenye kipawa cha kutumia mwili wake na kuwa jemadari wa dunia (mfano bondia, mwanamichezo n.k) Issue hapo utaona na ku-adapt na kama mtu hana constant pain kuishi bila shida na hizo sense /viuongo vilivyobaki...
I Cried because I had no Shoes until saw Someone with no Feet.....; By the way unaposema technically kama umezaliwa bila ulemavu kumshukuru Mungu walau mara moja kwa siku kwahio walemavu wamlaani nani walau mara moja kwa mwaka ?
pole sana mkuu, na mimi nilishangaa unapataje Ban mtu kama wewe wakati tulishazoea Ban ni kwa ajili ya gentamycine. Pole sana unaendeleaje vizuri lakini?Asante rafiki
Nilikua natumikia ban tatu kipenzi
1. Nilirepotiwa nasocialize sana kwenye nyuzi za watu( hii ilianza)
2. Nilikua nawasema vibaya mods huko pm ( hii ikafuata)
3. Zile screenshots za moderators wakiingia pms za watu( hii ndo walikuja kunimaliza kabisa)
Amen ubarikiwe big ciccy🙏🙏❤️
nje ya mada ndio vizuri hawa mods inabidi tuwaulize na waje na majibuNimecheka huku nikiwa na mshangao!!
Makosa yote matatu yamenichekesha kiukweli
Ku-socialize sana kumbe ni kosa hapa JF,
Kuwasema vibaya mods,tena PM kumbe nalo kosa
Hili la tatu sijalielewa,screenshots za mods wakiingia PMs za watu ni wewe ndo ulikua unatumia watu hizo screenshots?hivi kumbe ni kweli huwa wanaingia PMs za watu? Kuna mdau miaka ile 2016 nilivyojiunga aliniambia hili la mods kusoma PMs za watu...kumbe ni kweli 😂
Halafu najua naenda nje ya mada 🤦♀️
Mungu akusaidie upone haraka ufurahie zawadi hii ya uhai tuliyopewaHope leo naweza nikaruhusiwa,. Naendelea vizuri
Pm kulikua na 8 members online,. Nikaview participants nikakuta ni moderators wote wapo na majina yao. Nikascreenshot nikaandika uzi kusema kumbe ni kweli hua wanaingia pm,. Wakanipa ban naleta maongezi ya faragha hadharani,.Nimecheka huku nikiwa na mshangao!!
Makosa yote matatu yamenichekesha kiukweli
Ku-socialize sana kumbe ni kosa hapa JF,
Kuwasema vibaya mods,tena PM kumbe nalo kosa
Hili la tatu sijalielewa,screenshots za mods wakiingia PMs za watu ni wewe ndo ulikua unatumia watu hizo screenshots?hivi kumbe ni kweli huwa wanaingia PMs za watu? Kuna mdau miaka ile 2016 nilivyojiunga aliniambia hili la mods kusoma PMs za watu...kumbe ni kweli 😂
Halafu najua naenda nje ya mada 🤦♀️
kwani katika sheria na kanuni za Jf ku-socialize kupita kiasi ni kosa la jina kiasi cha kupigwa ban? Na kwanini mtu apeleke tuhuma kama hizo na wasifanye uchunguzi wao? ModeratorHiyo ya kusocialize kuna mtu inaonekana anakereka nikiwa nasalimiana na watu kama hivi,. Ndio walivyonambia
Ndio hicho niliwafata pm waniambie shida nini nikaishiwa kupigwa ban,. Walinambia hua nasababisha watu waache kuchangia mada husika hivyo uzi hua unaenda opkwani katika sheria na kanuni za Jf ku-socialize kupita kiasi ni kosa la jina kiasi cha kupigwa ban? Na kwanini mtu apeleke tuhuma kama hizo na wasifanye uchunguzi wao? Moderator
nje ya mada ndio vizuri hawa mods inabidi tuwaulize na waje na majibu
sijui kwanin Maxence Melo halioni hili tatizo, yaani sababu za ovyo ovyo na yeye yupo kimya tu. Mods wengi hawana hizo qualifications wanazojigamba nazo, hao wakina elon musk wanasemwa kwenye mitandao wanayoimiliki lakini hawafungii watu account, lakini hawa Moderator kidogo tu ukiwauliza unapigwa BAN.Ndio hicho niliwafata pm waniambie shida nini nikaishiwa kupigwa ban,. Walinambia hua nasababisha watu waache kuchangia mada husika hivyo uzi hua unaenda op
Pm kulikua na 8 members online,. Nikaview participants nikakuta ni moderators wote wapo na majina yao. Nikascreenshot nikaandika uzi kusema kumbe ni kweli hua wanaingia pm,. Wakanipa ban naleta maongezi ya faragha hadharani,.
Hiyo ya kusocialize kuna mtu inaonekana anakereka nikiwa nasalimiana na watu kama hivi,. Ndio walivyonambia
kwa maelezo ya leejay, PM sio sehemu salama kabisa, nafikiri huwa wakikosa kazi wanaanza kusoma chati zetu na kucheka kuangalia watu wanavyopigwa vibuti na kuchukua namba halafu wanaanza kututumia meseji wakisema tuma kwenye namba hiiKumbe hata PM sio safe loh!!
JF haiko safe kila sehemu 😆
huu uzi Moderator Cookie Active Paw watajifanya wapo kanisani hawauoni wakati wanasoma taratibu hapo ofisini huku wakila karanga na majiSijawahi kusoma privacy policy za humu ndani,hebu nizisome...labda zinaruhusu mods kusoma PMs zetu
Huyo aliyekureport labda ni mmoja wa mods anakutaka,sidhani kama ni kosa kusalimiana na watu!!
Nwei,pole