Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Iko hivi,. Nimepatwa na uziwi wiki ya pili sasa ,.
Pole sana,
.Imagine masikio ni mazito, yameziba halafu mda wote unafeel like uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele halafu huwezi kurealize ni kelele za kitu gani,,.
Hapa sijaelewa,masikio yameziba,halafu unafeel uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele,yani masikio yameziba ila kelele unazisikia?
Pole sana,utakaa sawa tu.
 
Hivi na hao wenye ulemavu wanatakiwa wafanyaje , wamshukuru MUNGU au wamlaumu🤔 kulikuwa na haja Gani MUNGU mwenye huruma na upendo kuweka ulemavu duniani🤔 . Mkisema kwamba ni majaribu na mapito huoni kama ni uonevu mana kampa uyu pito hili na huyo kamuacha anadunda🤔 . Kuna mtu anazaliwa familia ya kitajiri mpaka anakufa ktk maisha ya kitajiri na Kuna mwengine kakulia maisha ya mtaani Hana baba Wala mama wanalawitiwa wanapewa ukimwi na wanakufa katika mateso je kwann uyo MUNGU anaruhusu yote haya yanatokea 🤔. Uwepo wake unafukirisha sana Kwa kweli
 
Unaweza ukakuta kiziwi na kipofu au kilema yoyote yule ana furaha na peace of mind kuliko mwenye kipawa cha kutumia mwili wake na kuwa jemadari wa dunia (mfano bondia, mwanamichezo n.k) Issue hapo utaona ni ku-adapt na kama mtu hana constant pain basi anaweza kuishi bila shida na hizo sense /viuongo vilivyobaki...

I Cried because I had no Shoes until I Saw Someone with no Feet.....; By the way technically unaposema kama umezaliwa bila ulemavu kumshukuru Mungu walau mara moja kwa siku kwahio walemavu wamlaani nani walau mara moja kwa mwaka ?
 
Ila mambo mengine ujue tunachukulia poa but kuzaliwa umekamilika kwa kweli ushukuri sana.

Ila sasa binadamu tulivuo wapuuzi, afya zetu tunazichezea kama mpira wa mdako. Baadae ndio majuto kibao.
 
Bado sijasoma uzi
Nimefurahi tu kukuona Leejay49

Ulifanya kosa gani hadi ukapatwa na ban ya muda mrefu hivyo mdada mstaarabu
Nilikua natumikia ban tatu kipenzi
1. Nilirepotiwa nasocialize sana kwenye nyuzi za watu( hii ilianza)
2. Nilikua nawasema vibaya mods huko pm ( hii ikafuata)
3. Zile screenshots za moderators wakiingia pms za watu( hii ndo walikuja kunimaliza kabisa)

Amen ubarikiwe big ciccy🙏🙏❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…