Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Duuh,. Tunapaswa kushukuru kwa kila jambo
 

Nimecheka huku nikiwa na mshangao!!

Makosa yote matatu yamenichekesha kiukweli
Ku-socialize sana kumbe ni kosa hapa JF,
Kuwasema vibaya mods,tena PM kumbe nalo kosa
Hili la tatu sijalielewa,screenshots za mods wakiingia PMs za watu ni wewe ndo ulikua unatumia watu hizo screenshots?hivi kumbe ni kweli huwa wanaingia PMs za watu? Kuna mdau miaka ile 2016 nilivyojiunga aliniambia hili la mods kusoma PMs za watu...kumbe ni kweli 😂

Halafu najua naenda nje ya mada 🤦‍♀️
 
nje ya mada ndio vizuri hawa mods inabidi tuwaulize na waje na majibu
 
Pm kulikua na 8 members online,. Nikaview participants nikakuta ni moderators wote wapo na majina yao. Nikascreenshot nikaandika uzi kusema kumbe ni kweli hua wanaingia pm,. Wakanipa ban naleta maongezi ya faragha hadharani,.
Hiyo ya kusocialize kuna mtu inaonekana anakereka nikiwa nasalimiana na watu kama hivi,. Ndio walivyonambia
 
kwani katika sheria na kanuni za Jf ku-socialize kupita kiasi ni kosa la jina kiasi cha kupigwa ban? Na kwanini mtu apeleke tuhuma kama hizo na wasifanye uchunguzi wao? Moderator
Ndio hicho niliwafata pm waniambie shida nini nikaishiwa kupigwa ban,. Walinambia hua nasababisha watu waache kuchangia mada husika hivyo uzi hua unaenda op
 
Ndio hicho niliwafata pm waniambie shida nini nikaishiwa kupigwa ban,. Walinambia hua nasababisha watu waache kuchangia mada husika hivyo uzi hua unaenda op
sijui kwanin Maxence Melo halioni hili tatizo, yaani sababu za ovyo ovyo na yeye yupo kimya tu. Mods wengi hawana hizo qualifications wanazojigamba nazo, hao wakina elon musk wanasemwa kwenye mitandao wanayoimiliki lakini hawafungii watu account, lakini hawa Moderator kidogo tu ukiwauliza unapigwa BAN.
 

Sijawahi kusoma privacy policy za humu ndani,hebu nizisome...labda zinaruhusu mods kusoma PMs zetu
Huyo aliyekureport labda ni mmoja wa mods anakutaka,sidhani kama ni kosa kusalimiana na watu!!

Nwei,pole
 
Sijawahi kusoma privacy policy za humu ndani,hebu nizisome...labda zinaruhusu mods kusoma PMs zetu
Huyo aliyekureport labda ni mmoja wa mods anakutaka,sidhani kama ni kosa kusalimiana na watu!!

Nwei,pole
huu uzi Moderator Cookie Active Paw watajifanya wapo kanisani hawauoni wakati wanasoma taratibu hapo ofisini huku wakila karanga na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…