Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Hata yeye pia mello nilimtumia ujumbe pamoja na zile screenshots hakunijibu
 
Sijawahi kusoma privacy policy za humu ndani,hebu nizisome...labda zinaruhusu mods kusoma PMs zetu
Huyo aliyekureport labda ni mmoja wa mods anakutaka,sidhani kama ni kosa kusalimiana na watu!!

Nwei,pole
Nowdays ni bora ukawa tu msomaji na huko pm ni hakufai kabisa tena taarifa zako official hutakiwi kuziandika kwa namna yeyote ile
Asante
 
Leejay49 uwe kilema au usiwe kilema, ni wajibu wako kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.

Kumshukuru MUNGU sio tu pale unapokuwa mzima bali hata vilema wanapswa kushukuru vile vile.

Hata hivyo pole sana kwa yaliyokukuta.

Ushauri wangu kwako tafuta "food supplements" za FOHOW zinatibu vizuri sana.

Kila la heri.
 
Zinapatikana maeneo gani hizo supplements mkuu,
 
Mkuu pole sana,Malaria kali wakati fulani hupelekea ukiziwa wa muda.Mimi nimewahi kuugua Malaria kali sana kiasi cha kutoweza kunyanyua chochote hata kijiko ilikuwa mtihani,ikafika hatua macho yakawa hayaoni vizuri mtu akipita mbele yangu nashindwa kumtambua naona kivuli tu,masikio yakawa hayasikii vizuri nikahisi ni homa na ukali wa dawa nilizokuwa natumia,maana nilikuwa natumia Chloroquine.
 
Nadhani ni allergy ya madawa maana walianza kunisafisha wakijua ni ear wax lakini tatizo linaendelea bado
Ungekuwa dar ungeenda pale Magomeni,kuna hospital kubwa inaitwa Ekenywa..ni maalumu sana kwa masuala ya masikio. Wana vifaa vya uchunguzi na wataalamu walio bobea kwa issue za masikio.

Naweza kukupatia contact za mbobezi mmoja anafanyia kazi pale.
 

Hawa moderators wana shida. Waje watoe majibu wanachochungulia uko pm ni kipi?
 

Kumbe hata PM sio safe loh!!
JF haiko safe kila sehemu πŸ˜†


kwa maelezo ya leejay, PM sio sehemu salama kabisa, nafikiri huwa wakikosa kazi wanaanza kusoma chati zetu na kucheka kuangalia watu wanavyopigwa vibuti na kuchukua namba halafu wanaanza kututumia meseji wakisema tuma kwenye namba hii

Hata yeye pia mello nilimtumia ujumbe pamoja na zile screenshots hakunijibu

Nowdays ni bora ukawa tu msomaji na huko pm ni hakufai kabisa tena taarifa zako official hutakiwi kuziandika kwa namna yeyote ile
Asante

Sasa hivi watu wakiwa wanaitana PM nitakuwa nacheka tu
Maxence Melo umeamua nawewe umsapoti mama kuwa Chura kiziwi.πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
Umukali wa hene
 
Hatari Payge njoo ujibu tuhuma hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…