Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Kwamba wengine wameonewa(kuwa walemavu) na wengine wamependelewa(kuwa na viungo vyote sawia). Hii notion huwa inazunguka sana kwenye akili yangu, some are fortunate, others are unfortunate...huyu jamaa hajawahi kuwa wa haki hata kidogo. Unaumba mtu hasikii, haoni, hatembei, haongei, kwa nini sasa ulimleta duniani, aishi kwa shida? He's unjust.
 
Ndio hicho niliwafata pm waniambie shida nini nikaishiwa kupigwa ban,. Walinambia hua nasababisha watu waache kuchangia mada husika hivyo uzi hua unaenda op
Hilo huwa wanafuata watu private na kuwaonya, walishawahi kunionya kuacha kwenda nje ya mada husika, of which wapo sahihi. Mtu akileta mada yake anatamani ijadiliwe, ila baadhi yetu tunaleta jokes na stories binafsi, sio sawa..ila sidhani kama ni kosa la kumfungia mtu asi-socialize.
 
Vp kama ungezaliwa kiziwi?
Ni kwa sababu tu umeonja umeonja kusikia ndiyo maana unahangaika
 
Pole sana mdogo wangu kipenzi Leejay49 nina imani utaendele kukaa sawa na utaendelea na majukumu yako mengine😍

Yes, humu sometimes kuna watu wanakera sana, na bila kuangalia kwa umakini unaweza jikuta unagombana na kila mtu maana si kila mtu anapenda afanyacho mtu
.... halafu nikuibie siri, hakuna members wanafiki humu kama wanawake, tena wale wa karibu yako...chukua point hiyo!!!
Leo mnacheka vzr, kesho anaunda kigroup Pm na mmoja mmoja unaanza kuiona rangi yake, mifano ninayo na wanajijua.
Ila usiwaze, japo kila siku tunawalalamikia akina Paw na Fang na Cookie kuwa wabadilishe mfumo wa hata mtu uliyemu-ignore, asinione na nisimuone kwenye thread, kiufupi tusionane, ila naona hii kitu haiwezekani!!!😔

You're dada love you❤️
 
Kuna mambo yanafikirisha, Mzungu mwemyewe hawezi tengeneza gari halina matairi au lina matairi matatu. Ila muweza wa yote anaumba watu hawana miguu!
 
Ni kweli kwa sisi ambao tunatembelea ELBOW CRUTCHES

Hopefully one day ntaweza kutembea tenaa 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…