Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Asante big ciccy Madame B ❤️🙏..
Hiyo ya vigroup niliwahi kusikia nikapuuza hadi nilipotumiwa screenshot jinsi wanavyonijadili ,. mtu anasimulia story yangu hadi mwenyewe mhusika natamani nijue itaishaje
 
Kumbe kuna Watu Mnapiga Hela kupitia JF...Mbona madini kama haya hatupeani
 
Asante big ciccy Madame B ❤️🙏..
Hiyo ya vigroup niliwahi kusikia nikapuuza hadi nilipotumiwa screenshot jinsi wanavyonijadili ,. mtu anasimulia story yangu hadi mwenyewe mhusika natamani nijue itaishaje
🤧🤧🤧 Pole sana mdogo wangu.
Uzuri wake, katika hao hao wanaokujadili, ni lazima atatokea mmoja wapo atasaliti group😄 na kuwa upande wako.
Hatari!!!
 
Mungu akufanyiwe wepesi mkuu utakua sawa,.Nilisomaga ule uzi wako wa ajali
For sure,
Mimi sijawai kuugua au kuumwa umwa tangia niwezaliwa hichi kipind ndio nimepitia Maumivu Sanaa

Haya majanga yasikie TU kwa watu Ila yasikukute

Vp Unaendeleajee wewe kwa Sasa...........

Kikubwa tusikate tamaa mungu Ni mwema tutakaa sawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…