Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

Nimecheka huku nikiwa na mshangao!!

Makosa yote matatu yamenichekesha kiukweli
Ku-socialize sana kumbe ni kosa hapa JF,
Kuwasema vibaya mods,tena PM kumbe nalo kosa
Hili la tatu sijalielewa,screenshots za mods wakiingia PMs za watu ni wewe ndo ulikua unatumia watu hizo screenshots?hivi kumbe ni kweli huwa wanaingia PMs za watu? Kuna mdau miaka ile 2016 nilivyojiunga aliniambia hili la mods kusoma PMs za watu...kumbe ni kweli 😂

Halafu najua naenda nje ya mada 🤦‍♀️
pm 🙌
 
Jichanganye ukatongoze PM huku mods kadhaa wanakuchora huku wakisikitika jinsi unavyopigwa vibuti 😂
Ya pm yalishanishinda, kuna utaratibu wa hovyo sana huko pm. Ningelijua mapema nisungekaa nitumie pm kabisa ila nashukuru nilishtuka kabla mambo hayajawa mengi.
 
Wakuu habari za siku nyingi,..

Sikua najua how they feel, sikua najua ni kwa namna gani wanateseka mpaka mda huu ambapo Mungu ameamua anipitishe na mimi kidogo, huenda bila hivyo ningeendelea kuwachukulia kawaida…

Iko hivi,. Nimepatwa na uziwi wiki ya pili sasa ,. I don’t know the mechanism mpaka ilikua hivyo ila nachokumbuka ni kwamba nilipatwa na malaria makali pamoja na kichomi at once,. Nilikua to that point ambayo sikua naelewa chochote zaidi ya jina langu ambalo hata sikua nasikia kama naitwa,..

Namshukuru Mungu naendelea vizuri somehow,. Ila guys viziwi ni wanateseka sana,. Imagine masikio ni mazito, yameziba halafu mda wote unafeel like uko jirani na mtambo ambao unapiga kelele halafu huwezi kurealize ni kelele za kitu gani,,. Means hatakama unataka kuzungumza kitu unahisi wote wanasikia makelele inabidi uongee kwa sauti ya juu sanaaa,. Halafu wanakushangaa unapayuka , which is not easy 😌🥹… Yaani masikio mda wote yako na ganzi hata mtu akufinye husikii maumivu just imagine..

Nipo najiwazia hapa viziwi hii ndio hali wanaifeel for the rest of their lives 🤔, na je ikitokea na mimi nakua kiziwi ina maana ndio nitateseka hivi maisha yangu yote ??? ,.. Thanks Lord nimewahi treatment leo moja limeanza kusikia i hope yote yatasikia tena,. ( Mniombee wananzengo siko poa niko wodini bado,. Malaria nayo nayaniendesha ).


NB: Mtu kama upendezwi na mada za mtu au humuelewi hapa jukwaani ni better ukamuignore kuliko kureport kwa mods nao bila kufanya utafiti vizuri wanapigana ban,. Sio wote tuko humu just for fun,. Yaani wewe uliyenireport sijui hata nikufanye nini maana kuna watu nilikua nao seminar huko Pm na wametoka kunipa tu hela napigwa ban imagine😔😔.. Yaani naitwa tapeli kwasababu ya chuki zako binafsi,. SIJAPENDA
Pole sana mkuu. Get well soon.
 
kuna mambo mengine hata mwenyewe huyajui kuhusu wewe ila wanajua, ila ndio binadamu.
Serious nakwambia,. Kunae huyo mmoja alikua anasema jambo ikabidi niende kwanza chooni kwenye kioo nikahakikishe ila nyie 😂😂😂😂., Sisi wanawake tuna moto wetu mahala walahi
 
Serious nakwambia,. Kunae huyo mmoja alikua anasema jambo ikabidi niende kwanza chooni kwenye kioo nikahakikishe ila nyie 😂😂😂😂., Sisi wanawake tuna moto wetu mahala walahi
😂
mnapenda hekaheka sana ni nature yenu ila mengine ni kuyapuuza tu maana binadamu ni kiumbe ambae kusema hatokaa aache.
 
Back
Top Bottom