Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Noma sanaa hii nilimuonaga Ma mdogo wangu miaka ya 2000 hivi akiwa hoii aiseee ni amelala kitandani mifupa mitupuu hapo ndo nikajua Ukimwi unatishaa sanaa...!! Siku hizi ARV zinasaidia sanaa...
Waliozaliwa miaka ya karibuni hawawezi kuelewa ndio maana vibinti vya siku hizi vinaogopa mimba kuliko ukimwi,hawakuona huo muziki wa mtu kubaki mifupa
 
Waliozaliwa miaka ya karibuni hawawezi kuelewa ndio maana vibinti vya siku hizi vinaogopa mimba kuliko ukimwi,hawakuona huo muziki wa mtu kubaki mifupa
amini mzee yani ulivyomtafuna yule maza ndo nikajua huu moto sio aisee
 
Acha uzinzi.
 
Wandugu kuna dem nimezana chumvini vipo sipo atari kupata STIs na STDs ??sjapiga
 
daaa sijui kwann nimeufungua huu uzi maana muda si mrefu hili li toto la form 3 limetoka kuifinyia kwa ndani.alafu linakatika kama pangaboi.

e mola mbele yako naiweka roho yangu. amen
Bwana alitoa Bwana alitwaa jina la Bwana lihimidiwe
 
Bro wangu aliuziwa mke milioni tatu hata kupika hajui
Kha hiyo hela sii ange tombering 30 women kwa raha zake.
Kwa kweli wazazi wa kitz wajitafakari hizi bei za hawa watoto wao ambao kwanza hawa bikra ni kukomoana tuu.
Wacha tuendelee na msimamo wetu wa no koua. Piga mimba tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kha hiyo hela sii ange tombering 30 women kwa raha zake.
Kwa kweli wazazi wa kitz wajitafakari hizi bei za hawa watoto wao ambao kwanza hawa bikra ni kukomoana tuu.
Wacha tuendelee na msimamo wetu wa no koua. Piga mimba tuu
Alafu mama mkwe alikuwa anajisifu kuwa ametupa jembe kumbe alikuwa anatusanifu,akikupikia wali utasema ugali
 
Jamaa alikuwa anampelekaga pizza hut na kfc tuu nini?
Inapaswa demu unamuita gheto unanunua mazagazaga alafu unamwambia leo nipikie pilau nile nishive then nikutombeeez
Wali wake huwezi kuula ni kama ugali ,hajui kupika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…