- Thread starter
- #181
Waliozaliwa miaka ya karibuni hawawezi kuelewa ndio maana vibinti vya siku hizi vinaogopa mimba kuliko ukimwi,hawakuona huo muziki wa mtu kubaki mifupaNoma sanaa hii nilimuonaga Ma mdogo wangu miaka ya 2000 hivi akiwa hoii aiseee ni amelala kitandani mifupa mitupuu hapo ndo nikajua Ukimwi unatishaa sanaa...!! Siku hizi ARV zinasaidia sanaa...