Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Noma sanaa hii nilimuonaga Ma mdogo wangu miaka ya 2000 hivi akiwa hoii aiseee ni amelala kitandani mifupa mitupuu hapo ndo nikajua Ukimwi unatishaa sanaa...!! Siku hizi ARV zinasaidia sanaa...
Waliozaliwa miaka ya karibuni hawawezi kuelewa ndio maana vibinti vya siku hizi vinaogopa mimba kuliko ukimwi,hawakuona huo muziki wa mtu kubaki mifupa
 
Waliozaliwa miaka ya karibuni hawawezi kuelewa ndio maana vibinti vya siku hizi vinaogopa mimba kuliko ukimwi,hawakuona huo muziki wa mtu kubaki mifupa
amini mzee yani ulivyomtafuna yule maza ndo nikajua huu moto sio aisee
 
Habah ah wapi tena hivyo ndio target zangu...ukishawapiga deaparado na pizza unajilia kiulaini.
Wee kwani ukipata ngoma shida iko wapi? Mpaka kuja kufa sii baada ya miaka ishirini. Usitake kuishi mpaka yesu anaporudi akukute upo hai. Inapasa akukute upo six feet under
Acha uzinzi.
 
Wandugu kuna dem nimezana chumvini vipo sipo atari kupata STIs na STDs ??sjapiga
 
daaa sijui kwann nimeufungua huu uzi maana muda si mrefu hili li toto la form 3 limetoka kuifinyia kwa ndani.alafu linakatika kama pangaboi.

e mola mbele yako naiweka roho yangu. amen
Bwana alitoa Bwana alitwaa jina la Bwana lihimidiwe
 
Bro wangu aliuziwa mke milioni tatu hata kupika hajui
Kha hiyo hela sii ange tombering 30 women kwa raha zake.
Kwa kweli wazazi wa kitz wajitafakari hizi bei za hawa watoto wao ambao kwanza hawa bikra ni kukomoana tuu.
Wacha tuendelee na msimamo wetu wa no koua. Piga mimba tuu
 
Ahaaa kuna uzi wangu humu utafute kwa miaka 20 nimestack sijanenepa wala kuzeeka wala kuongezeka hata kilo moja, i look like 25, nachakata vibinti vya chuo kama nini na havinipi shikamoo, kuna mmoja nimesoma na mama yake, hajawahi kuniamkia ananiambia mambo, tunachakatana na tunaongozana njiani bila shida. Niligombea uzee wa kanisa wakaninyima kisa naonekana kijana nikaamua kuacha kusali.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kha hiyo hela sii ange tombering 30 women kwa raha zake.
Kwa kweli wazazi wa kitz wajitafakari hizi bei za hawa watoto wao ambao kwanza hawa bikra ni kukomoana tuu.
Wacha tuendelee na msimamo wetu wa no koua. Piga mimba tuu
Alafu mama mkwe alikuwa anajisifu kuwa ametupa jembe kumbe alikuwa anatusanifu,akikupikia wali utasema ugali
 
Jamaa alikuwa anampelekaga pizza hut na kfc tuu nini?
Inapaswa demu unamuita gheto unanunua mazagazaga alafu unamwambia leo nipikie pilau nile nishive then nikutombeeez
Wali wake huwezi kuula ni kama ugali ,hajui kupika
 
Back
Top Bottom